Posti hii inahusu zaidi faida za kitunguu swaumu wakati wa ujauzito, kuna kipindi ambacho wanawake wakati wa ujauzito uchaguza vyakula mbalimbali kuna ambao wanaweza kutumia vitunguu saumu na kupata faida kubwa
1. Kupunguza tatizo la kupata shinikizo la juu la damu.
2. Kuongezeka kwa uzito wa mtoto akiwa bado tumboni.
3. Kupunguza cholesterol mwilini.
4. Kulinda dhidi ya saratani.
5. Kulinda dhidi ya homa ya Maambukizi.
6. Kulinda dhidi ya Maambukizi ya ngozi kwa mtoto.
7. Kupunguza kuwepo kwa magonjwa mbalimbali ambayo utokea wakati wa mama wakati wa kujifungua pia usaidia kupunguza Magonjwa kwa mtoto akiwa tumboni
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Somo hili linakwenda kukuletea faida za embe na umuhimu wake kiafya
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula apple/tufaha
Soma Zaidi...hapa Tutakwenda kuona Vyakula Vya vitamini B, kazi za Vitamini B na dalili za Upungufu wa Vitamini B mwilini
Soma Zaidi...Hapa utajifunza sababu za kupatwa na maumivu ya tumbo kwa chini upande wa kulia
Soma Zaidi...