picha
JE KUKOSA HEDHI KWA MWANMKE ANAYENYONYESHA NI DALILI YA MIMBA

Kipimo cha mimba cha mkojo hakiwezi kyonyesha mimva changa sana. Hivyo kama ni mimba baada ya wikibpima tena itaweza kuonekana....

picha
KOO LANGU LIMEKAUKA YAWEZA KUWA NI MUADHIRIKA?

kuwashwa na koo ni katika dalili za kuwa na maambukizi mwilini. Kuwa na maambukizi haimaanishi ni HIV ama UKIMWI laa...

picha
NAOMBA MNIELEKEZE JINSI YA MATAYARISHO YA MBEGU ZA PAPAI MPAKA NIANZE KUZITUMIA KAMA TIBA

Mbegu za papai ni katika baadhi ya mbegu ambazo hutumika kama dawa, na tunda lake ni katika matunda yenyevirutubisho vingi...

picha
JE KUKOHOA KUNAWEZA KUWA NI DALILI YA MINYOO?

Dalili za minyoo zipo nyingi kama kuumwa na tumbo, tumbo kujaa gesi, uchovu, kukosa hamu ya kula, kupata choo chenye...

picha
KWANI MINYOO HUKAA SEHEM GANI YA MWILI?

Minyoo ni katika parasite, yaani ni viumbe wanaokaa kwenye mwili na kujipatia chakula chake humo. Katika miili yetu minyoo huishi...

picha
JE NI KWELI VITUNGUU SAUMU VINASHUSHA PRESURE

Kitunguu saumu ni tiba mbadala ya presha yabkushuja. Hakitatui tatizo yaani hakiponyeshi, ila husaidia katika kushusha presha iliyo panda.

picha
UKIFANYA MAPENZI SIKU HATARI NA UKAMEZA P2 UNAWEZA PATA MIMBA?

Je umeshawahi kujiukiza kuwa, dawa ya P2 ni kweli inaweza kuzuia mimba, ukifanya mapenzi siku hatari?

picha
KICHWA KINANIUMA MBELE SIELEWI NINI

Zijuwe sababu za kuumwa nankichwa upande mmoja wa kichwa.

picha
NJIA ZA KUJIKINGA NA VIDONDA VYA TUMBO

Kama unahitaji kujuwa namna ya kuweza kujikinga na vidonda vya tumbo, basi makala hii ni kwa ajili yako. Hapa utaweza...

picha
KAZI ZA VITAMINI B MWILINI NA UPUNGUFU WA VITAMINI B MWILINI

vitamini B vipo katika makundi mengi kma aB1, B2, B3, B5, B6, B7 na B12. Makala hii itakwenda kukutajia kazi...

picha
DALILI ZA MIMBA CHANGA NDANI YA WIKI MOJA

Je na wewe ni katika ambao wanahitaji kujuwa dalili za mimba ndani ya wiki moja? kama ndio makala hii ni...

picha
VYAKULA SALAMA NA VYAKULA HATARI KWA VIDONDA VYA TUMBO

Kamala hii inakwenda kufundisha vyakuna na vinjwaji salama anavyopaswa kutumia mgonjwa wa vidonda vya tumbo. Pia utajifunza vyakula na vinywaji...

picha
VYAKULA SALAMA NA VILIVYO HATARI KWA MWENYE KISUKARI, NA VIPI ATAJIKINGA NA KISUKARI

Makala hii inakwenda kukupa elimu juu ya vyakula na vinywaji vilivyo salama kwa mtu mwenye kisukari, na ni vyakula vipi...

picha
VIDONDA VYA TUMBO, DALILI ZAKE, CHANZO CHAKE NA TIBA YAKE

Makala hii itakwenda kukupa elimu juu ya vidonda vya tumbo, nini hasa chanzo chake, vipi vinatokea ni zipi dalili zake,...

picha
VYAKULA VYA MADINI, KAZIZAKE NA ATHARI ZA UPUNGUFU WA MADINI MWILINI

Je ungependa kujuwa vyakula hivyo ama vyanzo vya madini? Na je ungependa kujuwa ni zipi hasa kazi za madini katika...

picha
NINI HUSABABISHA MAUMIVU YA TUMBO CHINI YA KITOMVU KWA WANAWAKE NA WANAUMR?

Makala hii inakwenda kukuletea somo linalozungumzia maumivu ya tumbo chini ya kitomvu. Ni katika maumivu amaboyo kwa wanaume mara nyingi...

picha
KAZI ZA VITAMINI B NA VYAKULA VYA VITAMINI B

Makala hii inakwenda kukuletea kazi za vitamini B, pia tutajwenda kuona makundi ya vitamini B na kazi za kila kundi....

picha
DALILI ZA UKIMWI NA VVU KUTOKA MWANZONI MWA SIKU ZA MWANZO

Je na wewe ni katika wanaosumbuka sana kujuwa dalili za kwanza za ukimwi toka siku ya kwanza, ama dalili za...

picha
ZIJUWE FIGO, KAZI ZA FIGO NA NAMNA YA KULINDA FIGO DHIDI YA MARADHI

Je unatambuwa namna fgo inavyofanya kazi, unazijuwa kazikuu za fogo mwilini, na je unajuwa namna ya kujilinda dhidi ya maradhi...

picha
JE NI VIPI VYAKULA VYENYE PROTINI KWA WINGI?

Makala hii iatakuletea aina kuu tano za vywkula vyenye protini nyingi zaidi. Kama ulikuwa unajiuliza kuwa ni vyakula ipi hasa...

picha
NI ZIPI KAZI ZA PROTINI MWILINI?

Makala hii inakwenda kukuletea kazi kuu za protini na vyakula vya protini katika miili yetu. Mkala hii itakusaiidia kujuwa namna...

picha
VYAKULA VYA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME.

Tatizo la nguvu za kiume linawwza kuzuiliwa ama kupunguzwa kwa kutumia muunganimo wa njiankadhaa kama kubaduki vyakula, kutumia dawa, kupata...

picha
DALILI ZA MIMBA BAADA YA TENDO LA NDOA

Je unahitaji kujuwa kama umepata ujauzito baada ya kufanya tendo la ndoa? hakika sio rahisi ila kama utakuwa makini utaweza.

picha
VINYWAJI SALAMA KWA MWENYE KISUKARI

Kuchaguwa vinywaji si jambo rahisi, lakini inabidi iwe hivyo kama una tatizo la kisukari. Je unasumbuka kujuwa vinywaji salama? makala...

Page 228 of 230

Kuhusu Bongoclass

image

Bongoclass ni jukwaa la Kitanzania lenye lengo la kushirikisha maarifa na akili ili kukuza uwezo wa watu binafsi na jamii kwa ujumla. Kupitia tovuti yetu, programu ya simu, na mitandao ya kijamii, Bongoclass hutoa maudhui ya elimu bure kwa Kiswahili katika maeneo mbalimbali kama afya, burudani, na masomo ya shule. Jukwaa hili linajikita katika kutoa fursa za kujifunza, kushirikiana, na kukuza uchumi kwa kuzingatia muktadha wa kitamaduni na lugha ya Kiswahili.