Post hii inakwenda kukuorodheshea aina saba za viraka vya usomaji wa Quran.
1. Nafii
Imamu Malik na Imamu Ahmad walikuwa wakilitumia qiraa hiki
Qira’t Naafi’ Al-Madani
2. Qiraat Ibn Katheer Al-Makki (Makkah). Waliokuwa wakitumia qiraa hiki ni Qunbul, Al-Buzzi, na Imam Shaf
3. Qiraat Abu Amr al-Basri (Basra) Waliokuwa wakikitumia ni Ad-Doori and As-Soosi
4. Qira’t Ibn Aamir ash-Shami (Syria) Waliokuwa wakikitumia ni Ibn Dhakwan and Hisham
5 Qira’t Asim Al-Kufi (Kufa) Waliokuwa wakikitumia ni Imam Abu Hanifa (RA) na Imam Ahmad ibn Hanbal (RA)
6. Qira’t Hamzah al-Kufi (Kufa) Waliokuwa wanatumia qiraa hiki ni Khallad and Khalaf
7. Qirat Khalaf al-Bazzar). Waliokuwa wakitumia qiraa hiki ni Qirat Al-Kisaa’i (Kufa) Al-Layth na Ad-Doori
Soma zaidi https://ijaazah.com/the-7-types-of-qirat-in-the-quran/
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
FADHILA ZA BAADHI YA SURA Umuhimu na ubora wa baadhi ya sura na aya.
Soma Zaidi...Hapa utajifunza maana ya iqlab katika usomaji wa Quran kwa tajwid
Soma Zaidi...2; mbegu ya uhai uliyo changanyikaUmbile la mwanadamu limepitia hatua nyingi sana kama tutakavyoendelea mbele kuonalakini ukiachilia mbali na hatua zote alizopitia mwanadamu wakati wa kuumbwa lakiniumbile la mwanadamu bado limebakia kuwa dhalili kama ALLA
Soma Zaidi...