Kitunguu saumu ni tiba mbadala ya presha yabkushuja. Hakitatui tatizo yaani hakiponyeshi, ila husaidia katika kushusha presha iliyo panda.
SWALI
Je ni kweli vitunguu saumu vinashusha presure?
JIBU:
Kitunguu saumu ni katika vyakula vinavyotumika kama kiungio cha mboga na pia ni tiba asilia. Watu wa mataifa mbalimbali wanatumia kitunguu thaumu kama matibabu.
Ni kweli kuwa kitunguu saumu ni kizuri kwabkushusha presha. Unaweza kutumia kwa kutafuna punje zake.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Mpaka sasa hakuna dawa ya kuponyesha saratani wala kinga ya saratani. Hata hivyo vipo vyakula ambavyo vinakadiriwa kuwa hupunguza hatari ya kuweza kupata saratani. Je unadhani uyoga ni moja ya vyakula hivyo?
Soma Zaidi...Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote
Soma Zaidi...Katika makala hii nitakwenda kukupa somo linalohusu vitamini E, kazi zake, chanzo chake na madhara ya upungufu wake
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu upungufu wa vitamini C mwilini
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kitunguu saumu
Soma Zaidi...