kuwashwa na koo ni katika dalili za kuwa na maambukizi mwilini. Kuwa na maambukizi haimaanishi ni HIV ama UKIMWI laa hili ni neno pana. Hapa nitakujuza kwa ufupi kuhusu swali hilo la muulizaji kuwa anawashwa na koo.
SWALI
Koo langu limekauka yaweza kuwa ni muadhirika?
JIBU:
Kuwa shwa na koo ni dalili ya maradhi na huweza pia aikawa sio maradhi. Watu wengi wamekuwa wakidhani kuwa katika dalili za mwanzo za HIV ama UKIMWI ni kuwashwa na koo. Wengine wamekuwa wakiogopa sana pindi akiwashwa na koo baada ya kushiriki ngono zembe. Ha[pana hii sio sahihi. Kuwashwa na koo kunaweza kuwa hata sio jambo la kuhitaji uangalizi zaidi wa Daktari.
Sababu za kuwashwa na koo:-
1. Hali ya hewa kama kupata mavumbi
2. Mazingira kama kuwa katika mazingira ya mosho
3. Baridi kwa mfano aliyekula mbarafu ama juisi ya baridi sana anaweza kuwashwa na koo
4. maambukizi ya bakteria kwenye mfumo wa hewa
5. maambukizi ya Virusi kwenye mfumo wa hewa kama virusi vya Corona
6. Maambukizi ya virusi vinginevyo.
Je kuwashwa na koo ni dalili ya HIV na UKIMW?
Yes huweza ikawa i dalili ya maambukizi ya virusi vya HIV lendapo mtu alishiriki ngono zembe hivi karibuni na mtu aliyeathirika. Ama huwenda amepata virusi kwa njia nginginezo. Lakini itambulike kuwa katika daliki za mwanzo za HIV kuwashw akwa koo si sana kutokea. Hata hivyo hizi ni dalili tu zinaweza kuwa ni kitu kingine. Kinachotakiw ani kupata vipimo kwanza.
DALILI ZAMWANZO ZA HIV
1.kuvimba kwa tezi za kwenye makwapa, mapaja na shingo
2.Homa
3.Uchovu
4.Kuharisha
5.Kupungua uzito
6.Kikohozi
7.Pumzi kutoka kidogodogo
8.Mafua
DALILI ZA UKIMWI
1.kutokwa na jasho jingi wakati wa usiku
2.Kupata homa za mara kwa mara na kuhisi baridi
3.Kikohozi
4.Kushinwa kupumua vyema
5.Madoa madoa kwenye ulimi na mdomoni
6.Maumivu ya kichwa
7.Uchovu usiokuwa na sababu na usioisha
8.Kutokuona vyema
9.Kupungua uzito
10.Mapele na ukurutu kwenye ngozi
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
posti hii inazungumzia kuhusiana na matatizo ya mapigo ya moyo.Mapigo ya moyo ni hisia za kuwa na moyo wa haraka, unaodunda. Mapigo ya moyo yanaweza kuchochewa na mafadhaiko, mazoezi, dawa au, mara chache, hali ya kiafya. Ingawa mapigo ya moyo yanaweza k
Soma Zaidi...Makala hii itakwenda kukupa elimu juu ya maradhi haya ya ukimwi, dalili zake, tiba na kinga zake na mengineyo zaidi.
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia kuhusiana na ugonjwa ambao husababisha kuvimba kwa mishipa ya damu katika mwili wako wote. Ambao kitaalamu hujulikana Kama Behcet .
Soma Zaidi...Jipu la jino ni mfuko wa usaha unaosababishwa na maambukizi ya bakteria.
Soma Zaidi...Minyoo ni katika parasite, yaani ni viumbe wanaokaa kwenye mwili na kujipatia chakula chake humo. Katika miili yetu minyoo huishi na kula kuzaliana na kukuwa. Kama unahitaji kujuwa wapi hasa wanakaa mwilini mwetu, endelea na makala hii
Soma Zaidi...Sikio ni mojawapo ya milango ya fahamu inayotumiwa kwa ajili ya kusikia, Kuna wakati mwingine hushambulia na bakteria na virusi
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi huduma anayopaswa kupata mgonjwa wa ndengue, kwa sababu tunafahamu wazi Ugonjwa huu hauna dawa ila kuna huduma muhimu ambayo anaweza kupata na akaendelea vizuri.
Soma Zaidi...Jipu la jino ni mfuko wa usaha unaosababishwa na maambukizi ya bakteria. Jipu linaweza kutokea katika maeneo tofauti ya jino kwa sababu tofauti.
Soma Zaidi...