Minyoo ni katika parasite, yaani ni viumbe wanaokaa kwenye mwili na kujipatia chakula chake humo. Katika miili yetu minyoo huishi na kula kuzaliana na kukuwa. Kama unahitaji kujuwa wapi hasa wanakaa mwilini mwetu, endelea na makala hii
SWALI
Kwani minyoo hukaa sehem gani ya mwili?
Minyoo ni katika viumbe hatari sana. wanaweza kusababisha athari nyingi za kiafya na hata kudhoofisha mwili. Minyoo ipo katika aina nyingi sana na huweza kusababisha maradhi mengi. Minyoo inapokaa mwilini inaweza kusababisha athari kama maumivu ya tumbo, kodhoofu kwa mwili baada ya kukosa virutubisho, pia inaweza kuathiri afya ya ubongo endapo itakuwa kwenye ubongo.
Maeneo inapokaa minyoo mwilini:-
1. Kwenye tumbo
2. Kwenye damu
3. Kwenye ngozi
4. Kwenye ubongo
5. Kwenye ngozi
Chakula cha minyoo mwilini
1. hula chakula unachokila
2. hunywa damu
3. hula viungo vingine vya mwili kama maini
4. hula tishu nyinginezo.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Kipindupindu ni ugonjwa wa bakteria ambao kawaida huenezwa kupitia maji machafu. Kipindupindu husababisha Kuhara na Upungufu wa maji mwilini. Ikiachwa bila kutibiwa, Kipindupindu kinaweza kusababisha kifo kwa muda wa saa chache, hata kwa watu walioku
Soma Zaidi...Hivi huwa unachunguza choo chako? ivi huwa kinazama kwenye maji ama kinaelea? Kila damu ama malendalenda, je ni cheusi sana na kina harufu kali sana.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukuletea baadhi ya watu walio hatarini kupata fangasi
Soma Zaidi...Jipu la jino ni mfuko wa usaha unaosababishwa na maambukizi ya bakteria. Jipu linaweza kutokea katika maeneo tofauti ya jino kwa sababu tofauti.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza baadhi ya njia za kupambana na kuzuia gonorrhea
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu maradhi ya macho,dalili na matibabu yake
Soma Zaidi...Ugonjwa wa Mshtuko wa Sumu ni matatizo ya nadra, yanayotishia maisha ya aina fulani za maambukizi ya bakteria. Mara nyingi ugonjwa wa mshtuko wenye sumu hutokana na sumu zinazozalishwa na bakteria.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu namna ya kumsaidia mgonjwa aliyepungukiwa na damu kwa sababu ya minyoo.
Soma Zaidi...Posti hii inaelezea kuhusiana na dalili za kizunguzungu zinazotekea katika mwili wa binadamu
Soma Zaidi...