Mimi imepita miezi mitatu sioni hedhi na wala sioni dalili ya kuwa na mimba unaweza ukaniambia tatizo la kuwa na hali hii

Kama na wewe una tatizo la kupitiliza siku zako za hedhi hli ya kuwa huna ujauzito, soma post hii ina majibu yako.

Swali:

Samahani nilikua naomba niulize swali mm imepita miezi mitatu sioni hedhi na wala sioni dalili ya kuwa na mimba unaweza ukaniambia tatizo la kuwa na hali hii

 

Jibu

Tunatambuwa kuwa ujauzito ni moja ya visababishi vya kupitiliza kwa siku za hedhi. Hata hivyo zipo sababu nyingine. Endapo una tatizo hili vyema umuone daktari kwa uchunguzi zaidi. Hizi ni baadhi ya sababu zinazoweza kupelekea hali hiyo:-

1. Mabadiliko ya homoni

2. Hormone imbalance

3. PID yaani kuwa na mashambulizi ya bakteria kwenye mfumo wa uzazi

4. Kuwa na mashambulizi ya fangasi

5. Vyakula, mazingira na mabadilio ya haliya hewa pamoja na shughuli mtu anazofanya

6. Kuwa na shida nyingine kwenye mfumo wa uzaziJe! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/05/15/Sunday - 08:57:18 am     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1066


Download our Apps
👉1 Madrasa kiganjani     👉2 kitabu cha Simulizi     👉3 Kitabu cha Afya     👉4 Kitau cha Fiqh    

Post zifazofanana:-