Nini husababisha upungufu wa nguvu za kiume
Post hii itakujulidha mambo ambayo hupunguza nguvu za kiume
NINI HUSABABISHA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
Sababu za tatizo hili:
1. Kuwa na maradhi ya moyo
2. Kuziba kwa mishipa ya damu (atherosclerosis)
3. Kuwa na mafuta mengi mwilini (high cholesterol)
4. Kuwa na presha ya kupanda (high blood pressure)
5. Kisukari
6. Matumizi ya baadhi ya madawa
7. Uvutaji wa sigara
8. Maradhi kwenye uume kama peyronie
9. Unywaji wa pombe
10. Utumiaji wa madawa ya kulevya
11. Matibabu ya saratani ya korodani
12. Upasuaji katika maeneo nyeti au ugwe mgongo
13. Kuwa na mdongo wa mawazo ama woga
14. Mahusiano yasiyo mazuri
15. Kuwa na uzito kupitiliza
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Bongolite - Game zone - Play free game 👉2 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉3 web hosting 👉4 Simulizi za Hadithi Audio 👉5 Kitabu cha Afya 👉6 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)
Post zinazofanana:
Mambo ya kuzingatia kwa mama ili apate huduma endelevu.
Posti hii inazungumzia kuhusiana na huduma kwa mama wajawazito na waliojifungua.
Soma Zaidi...Tatizo la kutanuka kwa tezi dume.
Posti hii inahusu zaidi tatizo la kutanuka kwa tezi dume, ni tatizo ambalo linawakumba wanaume wengi kwa wakati huu kwa sababu ya kuwepo kwa maaambukizi kwenye tezi ambayo Usababishwa na vitu mbalimbali kama tulivyoona.
Soma Zaidi...Habari Mimi ni mjamzito was miezi Tisa sasa nimeanza kutokwa na maji kidogo kidogo ukeni bila uchungu na no mimba yangu ya kwanza he Kuna shida?
Ujauzito husababisha mabadiliko mengi mwilini, ikiwepo ongezeko la Majimaji ukeni ifikapo tarehe za kukaribia kujifunguwa. Majimaji haya ni muhimu kwa afya ya mtoto aliye tumboni.
Soma Zaidi...