image

Vyakula vya kuongeza nguvu za kiume.

Tatizo la nguvu za kiume linawwza kuzuiliwa ama kupunguzwa kwa kutumia muunganimo wa njiankadhaa kama kubaduki vyakula, kutumia dawa, kupata ushauri kwa wataalamu wa afya ya mahusiano ama kufanya nazoezi. Je na wewe unasumbuliwa na tatizo hili? Makala hii

NGUVU ZA KIUME NI NINI?

Tunapozungumzia nguvu za kiume ni uwezo wa mwanaune kusimamisha uume kutokana na kupatwa na hisia za kushirikintendonla ndoa. Katika kusimamisha huku kuna wengine wanasimamisha kwa muda mchache na wengine kwa muda mrefu.  Kitu hasa kinachoangaliwa sana ni uwezo wa uume kusimama na kuwa imara wakatinwa kushirikintendonla ndoa.

 

Je upungufu wa nguvu za kiume ni nini?

Upungufu wa nguvu za kiume hapa tunaangalia uwezo wa uume kuendelea kusimama na kuwa imara wakati wankyinguanna kutoka kwenye uke pindinmtu anaposhiriki tendonla ndoa. Kama mwanaune hawezi kusimamisha uume wake ndani ya dakika 3 wakati anashuriki tendonla ndoa huyuntunasema ana upungufu wa nguvu za kiume. Kuna wengine anaishia sekunde kadhaa tunbaada ya uume kuingiankwenyenuke.

 

Nguvu za kiumr kwa katika hali ya kawaida. Kikawaida nguvu za kiume zinaweza kuwa kati ya dalika 5. Wapo ambao wanafika dakika mpaka 15 wao ambao hawafiki. Lakinj kama unafika dakika 5 huna tatizo la nguvu za kiume, unahitajinushauri tunili kuzutumia vyema nguvu zako.

 

Ni zipi njia za kutatuwa tatizo la nguvu za kiume?

Kama tulivyoona hapo mwanzo kuwa kuna njia kama tatu zilizotajwa. Sasa hebu tuzione kwa ufupi bjia hizo:.

 

Kubadili lishe na kula vyakula vya kuongeza nguvu za kiume. Vyakula vimekuwa vikituathiri sana afya zetu. Hivyo nasinni vyakula gani vinasaidia kupunguza ama kudhibitibtatizonla nguvu za kiume?

 

Vyakula hivyo ni:

1. Vyakula vyenye arginine ambavyo ni kama maharage ya soya, mbegu za maboga, karanga, korosho, samaki, nyama, kuku na samaki.

 .

2. Vyakula vyenye phytochemical: vyakula hivi ni kama maepo (apples),mboga za  apricots, broccoli, Brussels sprouts, kabichi (cabbage), karoto (carrots), cauliflower, kitunguu thaumu (garlic), mimea jamii ya kunde (legumes), kitunguu maji (onion), pilipili kali (red peppers), maharage ya soya (soybeans), viazi vitamu (sweet potatoes), na nyanya (tomatoes).

 

3. Vyakula vya fati iliyo salama kwa afya ya moyo.  

Miongoni mwa vyakula hivi ni palachichi. Ndani ya palachichi kuna fat, vitamini B6 asidi ya folik (folic acid) kwa hamoja hizi husaidia kuongeza nishati mwilini na kuimarisha afya katika kushiriki tendo la ndoa. Vyakula vingine ni kama aina flani ya samaki, mayai, mbegu za chia, chokleti, bidhaa za maziwa kama siagi n.k

 

4. Vyakula vyenye  citrulline aina ya asidi za amini (amino acid):  

Miongoni mwa vyakula hivi ni tikitimaji. Tunda hili lina  citrulline kwa wingi sana tofauti na matunda mengi. Vyakula vingine ni kama maboga, matang n.k.   

5. Vyakula vyenye Indole-3-carbinol: hii husaidia katika kuboresha homoni hasa kwa wanaume. Huweza kupatikana kwenye mboga za majani kama kabichi, broccoli na mboga nyinginezo.

 

 

NJIA ZA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME:

Tofauti na vyakula lakini pia zipo njia nyingine kama kupata ushauri kwa wataalamu wa afya ya mahusiano. Hapa nitakuletea orodha ya njia za kuongeza nguvu zakiume. Njia hizo ni kama:-

 

Kufanya mazoezi: mazoezi yamegawanyika katika mafungu mengi. Ila tambuwa kuwa yapo mazoezi ambayo ni mujarabu sana katika kuongeza nguvu za kiume. Swali la msingi hapa je ni mazoezi gani yanayoongeza nguvu za kiume?

 

1. Kukimbia mwendo mdogo maarufu kama joging. Mazoezi haya husaidia katika kuboresha mzunguko wa damu, pia kiboresha mishipa inayozuia uume kuwa imara. Joging inatakiwa ifanyike kistaarabu. Joging pia itakusaidia kuongeza pumzi na kuweza kuhimili vyema tendo.

 

2. Kutembea kwa miguu; vyema ukaupa mazoezi mwili wako, mazoezi ya kutembea pia yanatosha. Angalau upate kama nusu saa ya kutembea kwa mguu. Hii inaweza kusaidia katika kuboresha mzunguko wa damu vyema, kwenye maeneo yote yammwili na kubust mishipa ya uume kufikiwa na damu vyema

 

3. Pushapu; hii ni muhimu hasa kwa wale wanaohitaji kuwa na misuli imara. Pushapu inahusisha viungo vingi kuanzia miguuni hdi shingini. Pushapu inaweza kusaidia katika kuboresha mzunguko wa damu ambao ni muhimu katika afya ya nguvu za kiume. Pushapu pia itakuongezea pumzi ambayo utaitumia wakati wa kushiriki.

 

4. Kama utakuwa na kamba ya kuruka, itumie vyema. Kamba ni katika mazoezi ambayo yanahusisha takribani mwili mzima. Hivyo inaweza kusaidia katika kuufanya mwili kuwa imara na kuufanya mwili uweze kuhimili vyema tendo la ndoa.

5. Fanyika mazoezi mshipa wa uume. Mshipa huu ni ule ambao unapokojoa unapotaka kuukata mkojo kuna mshipa utahisi unevutika unapokata mkojo. Mshipa huu unapatikana sehemu iliyo kati ya tundu la haja kubwa kuelekea kwenye shina la uume. Mshipa huu utaufanyisha mazoezi kwa kuukaza na kuuachia kama vile unavyokata mkojo na kuuashia. Hakikisha unapofanya zoezi hili huna mkojo.

 

JE BADO UNASUMBULIWA NA NGUVU ZA KIKUME?

Kama njia za hapo juu bado hazijakusaidia, sasa ni muda wa kutumia dawa na kuonana na mtaalamu wa afya ya mahusiano. Kama bado umejaribu njia zilizotajwa hapo juu bado hali haina matumaini tu,ia tena njia hi hapa chini:

  1. Punguza usito wako
  2. Punguza kitambi
  3. Kama unasumbuliwa na presha tafuta njia za kudhibiti presha
  4. Kama ni mgonjwa wa kisukari tumia dawa vyema ili kudhibiti kisukari
  5. Ongea na mshauri wa afya ya mahusiano
  6. Punguza kula vyakula vyenye mafuta kwa wingi
  7. Punguza stress na misongo ya mawazo
  8. Kama unapiga punyeto wacha kabisa
  9. Wacha kuangalia picha za uchi kama unaangaliaga.
  10. Ongea na daktari kuusu swala la homoni huwenda kusna shida katika mfumo wa homoni.

 

 





           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Topic: Vyakula Main: Post File: Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 2864


Sponsored links
👉1 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     👉2 Kitabu cha Afya     👉3 Kitau cha Fiqh     👉4 Simulizi za Hadithi Audio     👉5 Madrasa kiganjani     👉6 kitabu cha Simulizi    

Post zifazofanana:-

VYAKULA VYA VITAMIN NA MAJI
Zitambue aina zote za vyakule na ufanye maamuzi yaliyo kuwa sahihi katika uandaaji wa chakula chako Soma Zaidi...

Vyakula na vinywaji hatari na vilivyo salama kwa mgonjwa wa kisukari
Hapa utajifunza vyakula hatari kwa mgonjwa wa kisukari, pia utajifunza vyakula salama anavyotakiwa ale mgonjwa wa kisukari, Pia ujajifunza njia za kujikinga na kisukari Soma Zaidi...

UPUNGUFU WA VITAMIN NA MAJI
Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kula Fenesi
Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kula tango
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula tango Soma Zaidi...

Faida za kula Embe
Embe ni katika matunda atamu na yenye faida kubwa kiafya, soma makala hii hadi mwisho Soma Zaidi...

RANGI ZA MATUNDA
Jifunze sifa na aina za matunda, vijuwe viruturubisho Soma Zaidi...

ELIMU YA UJAUZITO, MIMBA NA KIZAZI
Soma Zaidi...

Ulaji wa protini unasaidia kupunguza unene
Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kula miwa
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula miwa Soma Zaidi...

Vyakula kwa wagonjwa wa sukari na utaratibu wao wa lishe
Post hii inakwenda kukufundisha utaratibu wa lishe kwa wagonjwa wenye kisukari pamoja na vyakula salamakwao. Soma Zaidi...

Fahamu vitamini K na kazi zake, vyakula vya vitamini k na athari za upungufu wake
kuhusu vitamini K, wapi tutavipata, ni zipi athari zake na ni zipi kazi zake mwilini. Soma Zaidi...