Mawaidha Kutokwa kwa Shekhe

Karibu kwenye Darsa za mawaidha na Mafundisho ya dini.

MANENO MAZITO

EWE NDUGU YANGU, UNAPOKUFA HAKIKISHA (ELEWA):
' ' ' ' ' ' ...!
KUWA DUNIA HAITAHUZUNIKA KWA AJILI YAKO (HAITA KUHUZUNIKIA KAMWE)...!

' ' ' '  ...!
NA HARAKATI ZA ULIMWENGU ZITAENDELEA TU!

' ' ' ' !
NAFASI YAKO ATAICHUKUA MWENZAKO...

' ' ' ' ...!
NA MALI ZAKO ZITAKWENDA KWA WARITHI..

' ' ' ' ... !
NA WEWE UTAHESABIWA JUU YA MALI HIYO..

 ' ' ' ' ' ' ' ' ' "'" ... !
KITU CHA KWANZA KUONDOKA KWAKO UNAPOKUFA NI JINA LAKO...

' ' ' : ' ' '!
BASI KWA AJILI HIYO, WATASEMA: UKO WAPI MWILI?!

' ' ' ' ' ' ' : ' "'" ... ! 
NA WANAPOTAKA KUKUSALIA, WATASEMA: LETENI JENEZA...

' ' ' ' '  ' ' ' '  ' ' '  ... !
NA WANAPOKUWA TAYARI KWA AJILI YA KUKUZIKA WATASEMA: MSOGEZENI MAITI, NA HAWATOLITAJA JINA LAKO (KAMWE)...!

' ' ' ' : ' ' ' ' ' ' ' ' !
KWA AJILI HIYO ISIKUGHURIE (ISIKUHADAE) MALI YAKO, NASABA YAKO, WALA CHEO CHAKO NA WATOTO WAKO !

' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' !
BASI NI UOVU ULIOJE WA HII DUNIA, NA UKUBWA ULIOJE WA YALE AMBAYO SISI NI WENYE KUYAELEKEA JUU YAKE !

' ' ' ' '  ... ' ' ' ' ' '  ' ' :
BASI WEWE ULIE HAI HIVI SASA... JUWA KWAMBA (UKIFA), HUZUNI JUU YAKO ZITAKUWA ZA AINA TATU:

1 - ' ' ' ' ' : ' ' ' ' .
1- WATU WANAOKUJUWA WATASEMA: MASIKINI, MUNGU AMRAHAMU.

2 - ' '  ' ' ' ' ' ' ' ' '  ' ' ' ' ... ! 
JAMAA ZAKO, WATAHUZUNIKA KWA MASAA AU SIKU, KISHA WATAREJEA KWENYE MAZUNGUMZO YAO, BALI SIHIVYO TU NA KUCHEKA KWAO...!

3 - ' ' ' ' ...!
HUZUNI KUBWA (ITAKUWA) NYUMBANI MWAKO...!
__ ' ' ' ...
ATAHUZUNIKA MKEO NA WATU WAKO WA NYUMBANI.
 ' . ' ... ' ' ' ' ' !!
WIKI MBILI. MWEZI... MIEZI MIWILI, AU HATA MWAKA !!
' ' ' ' ' ' … !
KISHA WATAKUWEKA KWENYE ALBAMU ZA KUMBUKUMBU...!

' ' ' ' ' 
(HAPO) KISA (MAISHA YAKO) CHAKO KIME KWISHA KWA WATU
' ' ' ...  
NA KIMEANZA KISA (MAISHA YAKO) CHAKO CHA HAKIKA...
' ' ... ! 
NAYO NI (MAISHA YAKO YA) AKHERA...!
' ' ' ' :
HAKIKA UMEONDOKA KWAKO:
1 - ' ... UZURI
2 - ' ... MALI
3'- ' ... SIHA (AFYA
4 - ' ... NA WATOTO
5 - ' ' ' ... UMETENGANA NA MAKAZI, NYUMBA
6 - ' ... ! .....NA MWENZA (MKE AU MUME)
' ' ' ' '  ! ! !
NA HUKUBAKIZA, ISIPOKUWA AMALI ZAKO TU!
' ' :
NA SWALI HAPA NI:

' ' ' ' ' ' '!
UMEANDAA KIPI (CHA) KUKUSAIDIA KATIKA KABURI LAKO NA AKHERA YAKO HIVI SASA?!

' ' ' ' ' ... ' ' ' :
HII NDIYO HAKIKA INAYOHITAJI MAZINGATIO... KWA AJILI HIYO, BASI PUPIA (KUFANYA) MAMBO YAFUATAYO: 

1 - ' ... SALA
2 - ' ... SUNNAH (ZIADA YA AMALI)
3 - ' ' ...  SADAQA  SIRI YA
4 - ' ' ... AMALI NJEMA
5 - ' ' ... SALA ZA USIKU
6 - ' ' !!! TABIA NJEMA
' ' ' .
ILI USALIMIKE

' ' ' ' ' ' ' ' ' 
IWAPO UTASAIDIA KUWAKUMBUSHA WATU KUHUSU MAKALA HII,
' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ... 
NA ILI HALI UKO HAI SASA; UTAKUTA ATHARI YA UKUMBUSHO WAKO KWENYE MIZANI YAKO SIKU YA QIYAMA KWA IDHINI YAKE MWENYEZI MUNGU...
{ ' ' ' ' ' } • 

NA KUMBUSHA, KWANI HAKIKA UKUMBUSHO HUWAFAA WAUMINI.

' ' ' ' “'” ' ' ' '
NI KWA NINI MAITI HUCHAGUA (FURSA YA KUTOA) SADAQA LAU ANGERUDI DUNIANI,
 ' ' ' : 
KAMA ALIVYOSEMA MWENYEZI MUNGU MTUKUFU:
{ ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ':

 *' ' ' ' ' ' ' ' ' ' *)

' (10)
NA TOENI KATIKA TULIVYOKUPENI KABLA HAYAJAMFIKIA MMOJA WENU MAUTI, TENA HAPO AKASEMA: 
MOLA WANGU MLEZI! HUNIAKHIRISHII MUDA KIDOGO NIPATE KUTOA SADAKA, NA NIWE KATIKA WATU WEMA?
' ' : NA HAKUSEMA
 __ ' ! ILI NI SWALI
__ ' ' ! AU NIFUNGE
__ ' ' '  AU NI HIJI NA KUFANYA UMRA
' ' ' : 
WAMESEMA WANACHUONI:

' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' !
MAITI HAIKUTAJA SADAQA ISIPOKUWA NI KWA ATHARI KUBWA ZA SADAQA ALIZOZIONA BAADA YA KUFA KWAKE!

_ ' ' ' …  ! 
BASI TOENI SANA SADAQA
' ' ' ' ' ' 
 ' 
NA MIONGONI MWA SADAQA BORA UTAKAYOITOA SASA HIVI
  10 ' ' ' ' ' ' ' ' .
NI KUTUMIA SEKUNDE 10 TU KUSAMBAZA MANENO HAYA KWA NIA YA NASAHA.
' ' '.
HIVYO NENO ZURI NI SADAQA.

"""""""""""'''"""""""'



Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2021/11/11/Thursday - 05:38:07 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 668


Download our Apps
👉1 kitabu cha Simulizi     👉2 Madrasa kiganjani     👉3 Kitabu cha Afya     👉4 Kitau cha Fiqh    

Post zifazofanana:-