Kipimo cha mimba cha mkojo hakiwezi kyonyesha mimva changa sana. Hivyo kama ni mimba baada ya wikibpima tena itaweza kuonekana. Dalili hizobulizotaja pekee haziashirii mimba tu huwenda ni homoni zimebadilika kidogo, ama una uti.
SWALI
Za kazi,namtoto wa mwaka na miezi minne bado ananyonya mwezi ulioisha nimeingia period trh 14 mwezi huu adi now sijaona siku nilijiisi mjamzito nkapima na kile kipimo wiki nilivyokutana akijaonyesha chochote lakini adi Leo sijaona period na najskia dalili za period na azitoki lakini pia najskia dalili ambazo sielewi tumbo kuuma km wiki niliona dam Sasa sijajua shida nn mimba au???
Tatizo la kubadilika badilika siku za mwanamke akiwa ananyonyesha hutokea sana. Wakati wa kunyonyesha mwili wa mwanamke unapata mabadiliko mengi. Mabadiliko haya yanweza kuwa ya homoni hivyo kusababisha mifumo mbalimbali ya mwili kutofanya kazi kama alivyozoea. Miongoni mwa mifumo hii mfumo wa uzazi unaweza kupata mabadiliko haya, hivyo kusababisha kutokuona hedhi kama zamani.
Kutokuona hedhi ni iongoni mwa dalili za ujauzito. Hata hivyo mwanamke asiwe na uhakika kuwa ni ujauzito bila ya vipimo. Kwanza apate kipimo kisha ndipo aapata uhakika kuwa ni ujauzito ama sio. Kukosa hedhi kunaweza kusababishwa na mabo yagfuatayo:-
1. Mazingira
2. hali ya hewa
3. vyakula
4. madawa
5. njia za uzazi wa mpango
6. mvurugiko wa homoni
7. maradhi kwenye mfumo wa uzazi
8. afya ya akili na saikolojia ukiwa mbaya inaweza kuathiri mzunguko wa siku za mwanamke
maradhi mengineyo kama PID na UTI
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Hii ni hali inayowapata wanaume kushindwa kuhimili tendo la ndoa.
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia kuhusiana na huduma kwa mama wajawazito na waliojifungua.
Soma Zaidi...inaweza kutokea kuwa mtoto aliye tumboni akaishiwa maji hata kabla ya kuzaliwa. yes hali hii huweza kuwapata baadhiya watoto.
Soma Zaidi...Tunaposema uzazi wa mpango, tunamaanisha ile hali ya kuachanisha muda kutoka mtoto hadi mwingine. Inatakiwa angalau mtoto na mtoto wapishane miaka miwili. Uzazi wa mpango ni maamuzi kati ya mama na baba.
Soma Zaidi...Miongoni mwa matunda yenye virutubisho vingi ni pamoja na papai, nanasi, tikiti, palachichi, pera, karoti, hindi na boga. Lakini katika matunda haya yapo ambayo kwa mimba changa anatakiwa awe makini, kama papai na nanasi. Sasa vipi kuhusu mimba ya
Soma Zaidi...Posti hii inaelezea namna mwanamke anavyoweza kupata Ugonjwa wa Maambukizi ya mfumo wa Uzazi.
Soma Zaidi...KUVIMBA VYA MIGUU KWA WAJAWAZITO Kuvimba kwa miguu ni hali inayowapara wengi katika wajawazito.
Soma Zaidi...Kupungua kwa idadi ya mbegu za kiume kunamaanisha kuwa Majimaji (shahawa) unayotoa wakati wa kufika kileleni huwa na mbegu chache kuliko kawaida. Hesabu yako ya manii inachukuliwa kuwa chini kuliko kawaida ikiwa una chini ya mbegu milioni 15. Kuwa na idad
Soma Zaidi...Kipimo cha mimba kwa mkojo kimekuwa kikitumika sana kuangalia ujauzito. Kipimo hiki kinapotumika vibaya kinaweza kukupa majibu ya uongo. Kuwa makini na ujue muda sahihi.
Soma Zaidi...