Posti hii inahusu zaidi sababu za kukosa hedhi wakati mda wa kuona hedhi umefika ni tatizo linalowasumbua baadhi ya wasichana wachache katika jamii na hii ni kwa sababu zifuatazo.
Sababu za kukosa hedhi kwa mda ambao msichana anapaswa kuingia kwenye siku zake tayari.
1.Hili ni tatizo ambalo uwakumba wasichana wachache sana kwenye jamii, kwa wasichana huanza kuona hedhi kuanzia kwenye miaka kumi na miwili na kuendelea na kuna wengine ambao hawaoni na hali hii uwafanya kujisikia vibaya na kwa hiyo tunapaswa kujua sababu hizo kama ifuatavyo.
2. Kuwepo kwa Kiriba tumbo au kwa kitaalamu huitwa obesity hali hiyo ni kwa sababu ya kuwepo kwa mafuta mengi kila mahali ambayo yanasababisha vitu vingine kwenye mwili kwenda vibaya na kusababisha yai kushindwa kutoka kwenye kasha lake na hatimaye msichana hawezi kupata hedhi, kwa hiyo wazazi mnapaswa kuchagua aina nzuri ya vyakula vya kuwapa watoto wenu ili kuepuka matatizo kama haya.
3.Kuwepo kwa Mazoezi makali.
Mazoezi makali yakiwepo yanaweza kusababisha sehemu za via vya uzazi kutofanya kazi zake za kawaida au mazoezi hayo yanasababisha baadhi ya sehemu kuaribika na hatimaye Msichana anashindwa kupata hedhi kwa hiyo wale wanaofanya mazoezi makali jaribuni kutapunguza ili kuepuka matatizo haya,
4.Kuwepo kwa kiwango kidogo cha mafuta mwilini,
Kitendo cha kuwepo kwa mafuta kidogo mwilini nacho usababisha msichana kukosa hedhi kwa sababu mafuta ni mojawapo ya kitu kinachohitajika wakati wa ukuaji wa mtoto.kwa hiyo mafuta yakiwa chini ya asilimia kumi na tano mpaka kumi na saba msichana hawezi kupata hedhi maana ni kidogo mno.
5. Kutozalishwa au kuwepo kwa matatizo ya homoni ambazo usaidia kwenye makuzi ya mtoto, kwa hiyo kama homoni hazipo kwa sababu ya kuwepo kwa Maambukizi au pengine kwa sababu amezaliwa hivyo ni vigumu sana kupata hedhi, kwa hiyo wazazi wanapaswa kuwalea watoto wao kwenye misingi kizuri ili waweze kuepukakana na Magonjwa na wanapaswa kula vyakula muhimu sio vyakula ambavyo usababisha kuwepo kwa matatizo kwenye maisha yake
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowJe umeipenda post hii ?
Posti hii inahusu zaidi kazi ya homoni ya HCG katika kupima mimba, HCG maana yake ni human chorionic gonadotropin ni homoni ambayo uonekanekana kwenye mkojo na damu kama mtu ana mimba.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi kazi ya mdalasini katika matibabu ya homoni kwa wanawake.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi namna ya kuangalia maendeleo ya mtoto akiwa tumboni mwa mama, zoezi hili ufanyika kila mwezi pale mama anapokuja kwenye mahudhurio kwa kufanya hivyo tunaweza kuja maendeleo ya mtoto kwa kila mwezi.
Soma Zaidi...Tunaposema uzazi wa mpango, tunamaanisha ile hali ya kuachanisha muda kutoka mtoto hadi mwingine. Inatakiwa angalau mtoto na mtoto wapishane miaka miwili. Uzazi wa mpango ni maamuzi kati ya mama na baba.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi faida za uzazi wa mpango kwa watu waliopata maambukizi ya ugonjwa wa Ukimwi, ni faida wanazozipata waathirika wa ugonjwa wa Ukimwi.
Soma Zaidi...Post hii inahusu njia safi za kumsafisha Mama ambaye ametoa mimba au mtoto amefia tumboni.
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu sababu za kujaa tmgesi tumbon
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi Ute unaotoka wakati wa ujauzito, kwa kawaida wakati wa ujauzito Kuna Ute ambao utoka na ni tofauti na kawaida pale mwanamke akiwa Hana mimba.
Soma Zaidi...Katika post hii utakwenda kujifunza jinsi ambavyo utaweza kujiepusha na maradhi ya ini
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi vyanzo vya mwanamke kushindwa kupata ujauzito, kwa sababu kuna sababu nyingi ambazo Usababisha mwanamke kushindwa kupata ujauzito kama tutakavyoona hapo mbeleni
Soma Zaidi...