Posti hii inahusu zaidi ukweli kuhusu njia za uzazi wa mpango, sio kwa imani potofu ambazo Watu utumia kuelezea uzazi wa mpango.
Ukweli kuhusu njia za uzazi wa mpango.
1.Uzazi wa mpango ni kwa ajili ya Watu wote ambao ni wanawake na wanaume kwa sababu kuna na njia za uzazi wa mpango ambazo wanaume wanapaswa kushirikiana kwa hiyo siyo kweli kwamba njia za uzazi wa mpango ni kwa ajili ya wanawake tu.
2. Matumizi ya njia za uzazi wa mpango hayawezi kupunguza hamu ya tendo la ndoa bali usababisha tendo la ndoa kwa tamu zaidi kwa sababu hakuna anayefikilia kama kuna uwezekano wa kupata mimba kwa hiyo njia za uzazi wa mpango uondoa hofu ya mimba.
3.Njia za uzazi wa mpango hazisababishi ugumba hata kidogo kwa sababu zenyewe kazi yake ni kuzuia mimba kwa hiyo haziingilian na mambo ya ugumba.
4. Kondomu haiwezi kusafili katika via vya uzazi yaani kutoka sehemu moja kwenda nyingine kadri ya mpangilio wa via vya uzazi vilivyo labda kondomu inaweza kutoboka sio kusafiri kutoka kwenye uke, kwenda kwenye mfuko wa uzazi na kwenye ovari hii haiwezekani kabisa.
5. Njia za uzazi wa mpango zinaweza kusababisha maudhi madogo madogo sio maudhi makubwa kufikia kiasi cha kutoa uhai wa Mama kwa hiyo maudhi madogo madogo ni kama vile kutokwa na damu na hiyo ni kwa mda mfupi tu
6. Njia za uzazi wa mpango haziwezi kusababisha kuzaliwa kwa mtoto mfu bali kuzaliwa kwa mtoto mfu usababishwa na vitu vingine kabisa sio uzazi wa mpango, kwa hiyo Watu waache imani potofu ambazo zinaweza kusababisha kuzaa watoto wengi na wasio na mp as mpangilio kk wa sababu ya imani potofu za Watu wengine.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Post hii inakwenda kukupa njia za kukusaidia kuacha punyeto.
Soma Zaidi...Maambukizi ya fangasi katika sehemu za Siri za mwanamke husababishwa na fangasi wanaoitwa CANDIDA ALBICANS pia maambukizi haya hujulikana kama YEAST INFECTION. Pia hupatikana katika midomo, mpira wa kupitisha chakula,kibofu Cha mkojo ,uume na uke.
Soma Zaidi...Kondomu ni mpira ambao uwekwa kwenye uke au uume kwa ajili ya kuzuia mimba wakati wa kujamiiana
Soma Zaidi...Je unaijuwa siku yako hatari ya kupata mimba. Na itakuwaje kama tayari umebeba mimba changa. Nakala hii inakwenda kukushauri machache kuhusu maswali haya.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi huduma ambazo wajawazito wanaweza kuzipata wakiwa na Dalli au tayari wana kifafa cha mimba.
Soma Zaidi...Nini humaanisha kama chuchu zinauma na hupati period mwanaidi mrefu.
Soma Zaidi...Je unawaza nini endapo bikra itatolewa bila wewe kukusudia, je imetolewa kwa njia ya kawaida yaani uume ama ilikuwa ni ajali?
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi njia za kutibu kuharisha kwa watoto wakiwa nyumbani, kwa sababu mara nyingine mtoto anaweza kuharisha si kwa sababu ya kuwepo kwa Maambukizi ila ni uchafu tu kwa hiyo njia muhimu zinazofaa kutibu mtoto ni pamoja na yafuatayo.
Soma Zaidi...