Faida za kiafya za kula kabichi

Somo hili linakwenda kukuletea faida za kiafya za kula kabichi

Faida za kabichi

1. Kabichi Ina virutubisho Kama vile vitamin A, C, K na B6 pia Lina madini ya chuma, calcium na magnesium

2. Husaidia katika kupunguza maambukizi ya mara kwa mara ya bakteria fangasi na virusi

3. Husaidia kupona haraka kwa majeraha

4. Husaidia kupunguza uharibifu wa seli dhidi ya kemikali mbaya

5. Huboresha afya ya mifupa, misuri na mishipa ya damu

6. Hupunguza uwezekano wa kupata saratani

7. Huboresha mfumo wa mmeng'enyo wa chakula na kuzuia kutokupata haja

8. Hushusha presha ya damu

9. Hushusha kiwango cha cholesterol

Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 1970-01-01 03:33:44 Topic: Vyakula Main: Afya File: Download PDF Views 3200

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
👉1 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)    👉2 kitabu cha Simulizi    👉3 Simulizi za Hadithi Audio    👉4 Madrasa kiganjani    👉5 Kitabu cha Afya    👉6 Kitau cha Fiqh   

Post zinazofanana:

Fida za kula uyoga

Uyoga pia ni katika vyakula vya asili, ijapokuwa upatikanaji wake umekuwa mchache siku hizi. Shukrani ziwaendee wataalamu wa kilimo, kwa sasa tunaweza kuzipata mbegu za uyoga kutoka maabara na kulima uyoga popote pale. Wataalamu wa mimea wanaamini kuwa uy

Soma Zaidi...
magonjwa na lishe

DARASA LA AFYA MAGOJWA YANAYOHUSIANA NA VYAKULA 1.

Soma Zaidi...
Vyakula vya madini, kazizake na athari za upungufu wa madini mwilini

Je ungependa kujuwa vyakula hivyo ama vyanzo vya madini? Na je ungependa kujuwa ni zipi hasa kazi za madini katika miili yetu?. makala hii ni kwa ajili yako, hapa utakwenda kujifunza mengi kuhusu somo hili.

Soma Zaidi...
Faida za kula Papai

Okoa afya yako kwa kula tunda papai, kwa hakika hutajuta, papai lina virutubisho vingi

Soma Zaidi...
Faida za kitunguu thaumu

Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kitunguu thaumu

Soma Zaidi...
Vyakula vya vitamin A

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za vyakula vya vitamin A

Soma Zaidi...
Ni nini maana ya mlo kamili?

Mlo kamili ni mkusanyiko kuu wa vyakula mbalimba kwa pamoja huimarisha na kuujenga  mwili wa binadamu na wanyama kwa sababu vinaleta virutubishi vyote vinavyohitajika.  Mkusanyiko wa vyakula vinavyotengeneza mlo kamili Kuna majina ya vyakula

Soma Zaidi...
Faida za karoti

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za karoti na umuhimu wake kiafya

Soma Zaidi...