Posti hii inahusu zaidi namna ya kuwasaidia wanaotoa hedhi yenye mabonge, ni tatizo ambalo uwakumba wasichana hata wanawake wakati wa hedhi.
Huduma kwa wanaotoa damu yenye mabonge wakati wa hedhi.
1.Kwanza kabisa tunapaswa kuwafariji na kuwapa pole kwa wakati wanaopitia kwa sababu wanapoteza damu nyingi na inakuwa na mabonge pengine mtu kama ni mara ya kwanza anaweza kuwa na wasiwasi sana kwa kufanya hivyo tutaweza kuwa pamoja nao na watajisikia vizuri.
2. Kwa sababu wanakuwa kwenye maumivu makali tunapaswa kuwapa dawa ya kutuliza maumivu kama vile Asprin na dawa hizo hawapaswi kuzitumia sana kwa sababu uleta matatizo ya madonda ya tumbo kama yakitumiwa sana.
3. Pia tunapaswa kuwapatia vidonge ambavyo utumiwa na wanawake wa uzazi wa mpango hivi vidonge vina homoni ndani yake kwa hiyo usaidia katika matatizo kama hayo.
4. Kama labda tatizo linasababishwa na kuwepo kwa uvimbe wowote au kitu chochote ambacho kinapaswa kuondolewa ili kufanya mambo yaende vizuri mtatarishe mgonjwa kwa ajili ya upasuaji na hakikisha umefanya njia zote za upasuaji.
5. Kama kuna Maambukizi yeyote ambayo unadhani yametokea mpatie mgonjwa antibiotics ili kuweza kuondoa Maambukizi ambayo uenda yamo kwa mgonjwa.
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowPosti hii inahusu zaidi Dalili za Mama mwenye kifafa cha mimba, ili kifafa cha mimba kiweze kutokea lazima kuna dalili ambazo uweza kutokea kwa Mama kama ifuatavyo.
Soma Zaidi...Tafiti zinaonesha kuwa karibia asilimia 10% mpaka 25% ya wanawake wanaopata ujauzito, mimba zao hutoka.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi sababu mbalimbali ambazo zinamfanya mama au dada kutobeba mimba. Kwa hiyo tutaziona hapo chini kama ifuatavyo.
Soma Zaidi...Katika post hii utakwenda kujifunza jinsi ambavyo utaweza kujiepusha na maradhi ya ini
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi sababu za kuwepo kwa hedhi zaidi ya mara moja kwa mwezi mmoja, mara nyingi kuna Watu ambao huwa wanalalamika kwa sababu ya kupata hedhi za mara kwa mara kwa mwezi mmoja.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi huduma kwa mtoto mwenye shida ya kupumua, mtoto kama ana shida ya kupumua tunaangalia dalili kwanza na baadaye tunaweza kutoa huduma kulingana na Dalili.
Soma Zaidi...Uzazi wa mpango ni njia inayotumiwa na WA awake na wasichana Ili kupata idadi ya watoto wanaowahitaji na kuepuka mimba zisizotarajiwa.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi maji ya Amniotic ni maji ambayo uzunguka mtoto na kufanya kazi mbalimbali kama ifuayavyo.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukuletea njia za kutatua tatizo la nguvu za kiume
Soma Zaidi...