Huduma kwa wasioona hedhi

Huduma kwa wasioona hedhi

Posti hii inahusu zaidi msaada au namna ya kuwahudumia wale wasioona hedhi na wamefikiwa kwenye umri wa kuweza kuona hedhi.

Huduma kwa wasioona hedhi.

1.Kwanza kabisa tunapaswa kujua kubwa kila mtoto wa kikea anapaswa kuiona hedhi yake kwa mda mwafaka kwa kawaida huwa ni kuanzia miaka kumi na mbili na kwa wasioona ni kwa sababu ya vigezo mbalimbali kwa hiyo tunapaswa kuwasaidia kama ifuatavyo.

 

2. Kuongea na mwenye tatizo kuhusu mtindo waka wa maisha, hasa kuhusu matumizi ya vyakula vya mafuta na pia kuhusu mawazo na stress kama anazo kama kuna vitu vya aina hiyo Mgonjwa anapaswa kuvipunguza ili aweze kuruhusu mwili kufanya kazi zake za kawaida na ataweza kupata hedhi.

 

3.Kuchukua vipimo ili kuangalia kama kuna uaribifu wowote kwenye via vya uzazi kuanzia kwenye ovari, mrija wa kupitishia yai, kwenye mfuko wa uzazi, kwenye mlango wa kizazi na kama kuna shida yoyote tunapaswa kuifanyia kazi ili kumsaidia kuingia kwenye siku zake za mwezi.

 

4. Kumpatia vidonge vya uzazi wa mpango 

Kwa kumpatia mgonjwa vidonge vya uzazi wa mpango anaweza kufanya homoni zikaanza kufanya kazi kwa sababu vidonge hivi navyo vina homoni kama zile za kwenye mwili wa binadamu,

 

5.Kwa hiyo tunapaswa kujua wazi kuwa kupima afya zetu mara kwa mara kuangalia kama kuna Maambukizi au uvimbe ambavyo vinaweza kusababisha kukosa kwa hedhi kwa hiyo tunapaswa kuwa na tabia hiyo maana upunguza matatizo ya ki afya

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Uzazi Main: Post File: Download PDF Views: 2721

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Kitabu cha Afya     👉2 ai web app     👉3 Madrasa kiganjani     👉4 Bongolite - Game zone - Play free game     👉5 web hosting     👉6 Simulizi za Hadithi Audio    

Post zinazofanana:

Sababu za kutokea kwa saratani ya matiti

Saratani ya matiti ji moja kati ya saratani zinazosumbuwa wqnawake wengi. Katika somo hili utajifunza chanzo cha kutokea saratani ya matiti

Soma Zaidi...
Mambo muhimu ambayo mama mjamzito anatakiwa kuzingatia.

Posti hii inazungumzia kuhusiana na Mambo ambayo mama mjamzito anatakiwa kuzingatia katika kipindi Cha ujauzito au mimba

Soma Zaidi...
Mama mjamzito anaruhusiwa kushiriki tendo la ndoa?

Mama mjamzito anaruhusiwa kushiriki tendo la ndoa mpaka siku ya kujifungua Kama mume wake pamoja na yeye akiwa Hana maambukizi ya zinaa na Kama akiona dalili zozote zile za hatari ndio hataruhusiwa kushiriki tendo la ndoa.

Soma Zaidi...
Dalili za kupasuka kwa mfuko wa uzazi.

Posti hii inahusu zaidi dalili za kupasuka kwa mfuko wa uzazi,ni Dalili ambazo ujitokeza kwa Mama ambaye anakuwa amepasuka mfuko wa kizazi.

Soma Zaidi...
Jinsi ya kujikinga na maradhi ya ini

Katika post hii utakwenda kujifunza jinsi ambavyo utaweza kujiepusha na maradhi ya ini

Soma Zaidi...