Posti hii inahusu zaidi mgawanyo wa matibabu ya kifua kikuu, tunajua kubwa kifua kikuu ni Ugonjwa ambao utumia mda mrefu kidogo katika matibabu kwa hiyo mgawanyiko wake uko kwenye sehemu mbili muhimu kama tutajavyoona
Mgawanyo wa matibabu ya kifua kikuu.
1.Kifua kikuu ni Ugonjwa ambao utumia mda mrefu kidogo wakati wa matibabu kwa hiyo matibabu yake yamegawanyika kwenye sehemu mbili muhimu ambapo mtu anaweza kutumia dawa za sehemu ya kwanza akapona na mwingine anaweza kutumia zote mbili na akapona vizuri kwa hiyo inategemea.
2.Sehemu ya kwanza ya matibabu mgonjwa utumia dawa zifuatazo kama vile Rifampicin, Isoniazid, pyrazinamide na ethambutol hizi dawa mgonjwa uzitumia kwa kipindi cha miezi miwili kwa mgonjwa aliyetambulika kwa na kifua kikuu.
3.Katika miezi mingine miwili mgonjwa uendelee kutumia dawa za Rifampicin, Isoniazid, ethambutol, pyrazinamide na kuongezea na streptomycin , dawa hizi utumika kwa kipindi cha miezi miwili ambapo mgonjwa kila siku ni lazima awe anatumia dawa hizo na kwa uaminifu. Na pia mgonjwa urudia dawa za kwenye miezi miwili ya mwanzoni na utumia dawa hizo kwa kipindi cha mwezi mmoja.
4.Kama Mgonjwa hajapona katika miezi ya mwanzo mgonjwa utumia dawa mbili tu ambazo ni Rifampicin na Isoniazid kwa kipindi cha miezi minne na akimaliza miezi hiyo mingine anao gezewa Ethambutol kwenye Rifampicin na Isoniazid dawa hizi mgonjwa uzitumia kwa kipindi cha miezi mitano na kama mgonjwa akitumia dawa zake vizuri yaani kupona kutakuwa rahisi mno.
5.Na katika matumizi ya dawa hizi unapaswa kuwasiliana na wataalamu wa afya ambao wataweza kukupatia maelekezo kwenye matumizi ya dawa kwa hiyo tunapaswa kuwapeleka wagonjwa wetu ili wapate dawa na kutibu ugonjwa huu
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inaelezea kuhusiana na mbinu za kutoa huduma ya kwanza kwa walio na majeraha ya macho kutokana na aina mbalimbali ya jeraha
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi namna ya kuwasaidia vijana wakati wa kubarehe, ni njia za kuhakikisha kuwa vijana wanakuwa na mwelekeo ,
Soma Zaidi...Hii post inahusu zaidi kazi za wahudumu wa afya wakati wa kutoa dawa, ni kanuni zinazopaswa kufuata wakati wa kutoa dawa kwa wagojwa.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi kazi za ini, ni kiungo muhimu kwenye mwili ambacho Kina umuhimu sana, bila ini maisha ya mwanadamu yanaweza kuishia pabaya
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu utaratibu wa lishe kwa wajawazito na wanaonyonyesha
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi madhara ambayo yanaweza kutokea endapo tatizo halijatibiwa.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu baadhi ya njia za kuongeza nguvu za kiume
Soma Zaidi...Katika post hii utajifunza sababu zinazowezabkuorlekea kibofu kuuma upande mmoja
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu kazi za vitamin B na makundi take
Soma Zaidi...