Maswali kuhusu njia za kumjua mwenyezi Mungu
Nguzo za imani (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu
Zoezi la 1.
(a) Bainisha njia kuu tano zinazomuwezesha mwanaadamu kumtambua Muumba
wake.
(b) Taja nguzo za Imani kwa mtiririko wake.
(a) Orodhesha Vitabu vilivyotajwa ndani ya Quran pamoja na Mitume
walioteremshiwa kwayo.
(b) Eleza, kwa nini Vitabu hivyo vimetajwa ndani ya Quran?
Ainisha sifa za Mitume wa Mwenyezi Mungu (s.w) kama ulivyojifunza katika somo hili.
Nafasi ya mwanaadamu imetofautiana sana na viumbe wengine, bainisha ni vitu au sifa gani zinazomtofautisha mwanaadamu na viumbe wengine.
Onyesha majukumu makuu ya kuletwa Mitume wa Mwenyezi Mungu (s.w) hapa Ulimwenguni.
Maisha baada ya kufa ni jambo lisilobudi kwa kila mwanaadamu, taja kwa mpangilio hatua za maisha ya mwanaadamu katika kuelekea maisha ya Akhera.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 ai web app 👉2 Simulizi za Hadithi Audio 👉3 Bongolite - Game zone - Play free game 👉4 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉5 Dua za Mitume na Manabii 👉6 Tafasiri ya Riyadh Swalihina
Post zinazofanana:
KUAMINI VITABU VYA ALLAH (S.W)
Mtu hawi Muumini wa kweli mpaka awe na yakini juu ya vitabu vya Allah (s.
Soma Zaidi...Kwa namna gani nabii Musa na Bi Mariam waliweza kuzungumza na Allah nyuma ya pazia
Nabii Musa na Mama yake nabii Isa bi Mariam waliweza kuwasiliana na Allah nyuma ya pazia.
Soma Zaidi...