Asili ya vyakula vya madini ya zinki

Post hii inahusu zaidi asili ya madini ya zinki, hii inaonesha sehemu gani tunaaweza kupata madini ya zinki.

Asili ya madini ya zinki

1.Madini ya zinki tunaaweza kuyapata kutoka sehemu mbalimbali kama vile kwenye mimea na wanyama,kiasi kikubwa Cha madini ya zinki tunakipata kwenye vyakula vya protein kama Vile kwenye mayai,nyama,na vyakula vyote vya mbegumbegu kama maharage njugu Mawe karanga na kwenye njegere na Aina nyingine kama hizo.

 

2. Pia tunaaweza kupata madini ya chuma kwenye vyakula kama vile mboga mboga za majani, matunda na vyakula vyote vyenye asili ya rangi yakijani tunaaweza kupata vyakula Aina ya zinki na tukaweza kuvitumia kwa sababu Kuna faida kubwa kwenye vyakula vya zinki.

 

Madhara mbalimbali yanayoweza kutokea iwapo Kuna Ukosefu wa madini ya zinki?

1. Ukosefu wa Madini ya zinki usababisha harufu mbaya mdomoni ambayo uambatana na kukosa hamu ya chakula, hii utokea sana hasa baada ya kukosa madini ya zinki au madini yakiwemo kidogo kwa sababu kinga ya mwili ushuka na bakteria ushambulia sehemu za kinywa.

 

2.Upungufu wa madini ya zinki usababisha kuwepo kwa upungufu wa damu mwilini ambapo kwa kitaalamu huitwa Anemia, hii utokea as kwa sababu zinki Ina sehemu ambayo ushughilika na usambazaji wa hewa na damu mwilini, kwa hiyo zinki ikikosa Kuna uwezekano wa upungufu wa damu mwilini.

 

3. Ukosefu wa madini ya zinki usababisha kuwepo kwa kudumaa hasa kwa upande wa watoto kwa sababu zinki usaidia katika kukua na maendeleo ya mtoto hasa chini ya miaka mitano.

 

4.Ukosefu wa madini ya chuma usababisha kuenea kwa maambukizi kwenye sehemu mbalimbali za mwili kwa sababu madini ya zinki usaidia kama kinga mwilini,kama hakuna madini ya zinki kinga mwilini upungua.

 

5.Upungufu wa madini ya zinki usababisha vidonda kuchukua mda kupima kwa sababu kupona kwa vidonda uendana na kiwango Cha madini kwenye mwili kama kiwango ni kidogo kiasi Cha kupona kitapungua kama kiwango ni kikubwa vidonda vitapona haraka.

 

 

 

 

 

Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 1970-01-01 03:33:44 Topic: Vyakula Main: Afya File: Download PDF Views 1377

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
👉1 Simulizi za Hadithi Audio    👉2 Madrasa kiganjani    👉3 Kitau cha Fiqh    👉4 Kitabu cha Afya    👉5 Bongolite - Game zone - Play free game    👉6 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)   

Post zinazofanana:

FAIDA ZA KIAFYA ZA KULA BAMIA (OKRA)

Makala hii inakwenda kukuonyesha faida za kula bamia kwa afya afya

Soma Zaidi...
Hasara za kitunguu swaumu wakati wa ujauzito

Posti hii inahusu zaidi hasara za kitunguu swaumu wakati wa ujauzito.

Soma Zaidi...
Faida za kula Zaituni

Matunda ya zamani, matunda ya asili, Zaituni tunda lipendezalo, zijuwe faida zake leo

Soma Zaidi...
Faida za kula Zabibu (grape)

faida za kula tunda zabibu kwa ajili ya afya yako

Soma Zaidi...
Faida za karoti

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za karoti na umuhimu wake kiafya

Soma Zaidi...
Vyakula vya madini kwa wingi, na kazi za madini mwilini

Utajifunza vyakula vyenye madini kwa wingi, kazi za madini mwilini na athari za upungufu wake

Soma Zaidi...