Huduma kwa wanaopata hedhi zaidi ya mara moja kwa mwezi
Posti hii inahusu zaidi huduma kwa wanaoingia kwenye siku zao zaidi ya mara moja kwa mwezi.
Huduma kwa wenye hedhi zaidi ya mara moja kwa mwezi.
1.Kwanza kabisa tunapaswa kujua kuna Watu ambao mizunguko yao ni tofauti na sio rahisi kuielewa kwa sababu ya kuingia kwenye siku zake za mwezi zaidi ya mara moja kwa hiyo hawa huwa wana sababu mbalimbali za kibiologia nna kwa walio wengi hali yao ubadilika na kuwa kawaida kwa hiyo tunaweza kuwasaidia kama ifuatavyo.
2. Kwanza kabisa tunapaswa kuwapatia dawa ya kutuliza maumivu kwa sababu wanakuwa na maumivu makali kwa wakati mwingine upungua kwa sababu ya jambo ambalo usababisha kuwepo kwa hedhi za mara kwa mara, tunaweza kuwapatia asprin na hawapaswi kuzitumia mara kwa mara kwa sababu zinasababisha vidonda vya tumbo.
3. Pia wanapaswa kupewa vidonge ambavyo vina homoni ili kama ni mabadiliko ya homoni vinaweza kusaidia vidonge hivyo ni vidonge ambavyo utumiwa na wanawake wa uzazi wa mpango vinaitwa kwa kitaalamu ni combined contraceptive pill, hivi vidonge usaidia sana na vitumike kwa maelekezo ya wataalamu wa afya.
4. Wakati mwingine kunakuwepo na Maambukizi ndoa yanaweza kufanya damu kutoka zaidi ya mara moja kwa mwezi kwa hiyo antibiotics ambazo zimeagizwa na daktari zinapaswa kutolewa ili kuzuia maambukizi na kama kuna uhitaji wa upasuaji mgonjwa anapaswa kuandaliwa ili kumpeleka kwa ajili ya upasuaji.
5.kwa hiyo tunapaswa kujua kubwa huyu mgonjwa anapoteza kiwango fulani cha damu kwa hiyo ni vizuri kumpatia vyakula vinavyoongeza damu ili kurudisha damu iliyotoka kwa mwezi mmoja.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Kitau cha Fiqh 👉2 Dua za Mitume na Manabii 👉3 Madrasa kiganjani 👉4 ai web app 👉5 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉6 Kitabu cha Afya
Post zinazofanana:
Huduma kwa mama mwenye mimba ambayo inataka kutoka.
Post hii inahusu zaidi huduma kwa mama ambaye mimba inataka kutoka, mimba za aina hiyo kwa kitaalamu huitwa inevitable pregnant ni lazima itoke tu hata kama kuna juhudi mbalimbali za wataalamu mimba hii utoka kabisa.
Soma Zaidi...Chanzo cha tatizo la mvurugiko wa hedhi.
Posti hii inahusu zaidi chanzo cha mvurugiko wa hedhi, Kuna kipindi hedhi uvurugika kabisa, pengine unaweza kupata hedhi mara mbili kwa mwezi au kukosa au pengine siku kuwa zaidi ya tano mpaka Saba au kuwa chache, hali hii utokea kwa sababu mbalimbali tut
Soma Zaidi...Dalili 10 za kukaribia kujifungua pamoja na uchungu wa kujifungua
Download Kitabu cha elimu ya Ujauzito na malezi ya mimba.
Soma Zaidi...Wanaopasawa kutumia PEP
PEP Ni dawa ambazo utumiwa na watu wanaojamiiana na watu wenye virus vya ukimwi ila wenyewe hawawezi kupata kwa sababu ya kutumia dawa hizo.
Soma Zaidi...Je mwanamke anaweza kujijuwa ni mjamzito baada ya muda gani.
Mdau anauliza ni muda gani mwanamke anaweza kujijuwa kuwa amepata ujauzito.
Soma Zaidi...