Post hii inahusu zaidi imani potofu kuhusu madawa yanayotolewa hospitalini, ni imani waliyonayo Watu hasa Watu wa bi vijijini na hata wa mjini nao wameanza kutumia madawa ya miti shamba kwa wingi.
Imani potofu kuhusu madawa ya hospitalini.
1.Kwanza kabisa sisi waafrika kabla ya kuingia wazungu kwenye maeneo yetu tulitumia sana madawa ya miti shamba na madawa hayo yaliweza kutibu Magonjwa mbalimbali lakini kuna baadhi ya magonjwa hayakuweza kutibika kwa hiyo kadri wageni walivyoanza kuingia ndipo hospitali zikawepo na madawa ya hospitalini yakaanza kutumika lakini kuna imani potofu kama ifuatavyo.
2.Madawa ya hospitalini hayatibu Magonjwa yote kama madawa ya hospitalini, hii niojawapo ya imani waliyonayo Watu kwamba kuna magonjwa mengine hayapaswi kutibiwa hospitalini bali yanaweza kutibiwa nyumbani, kwa hiyo Watu ubaki nyumbani bila kupata matibabu yoyote na hatimaye walizidiwa ndoa wanakuja hospitalini.
3.Madawa ya hospitalini ni ya kupoza magonjwa ambayo yanakuja vibaya na Magonjwa hayo yakipoa poa dawa za kienyeji zinaweza kutumika , hii ni imani ambayo Watu wanatumia kwa kuwapeleka watu hospitalini na hatimaye wakipata nafuu uwatoa na kudai kuwa matibabu yaliyobaki yatatibiwa nyumbani hali ambayo usababisha Watu kuwa na hali mbaya ndo baadaye urudishwa hospitalini.
4.Dawa za hospitalini ukizitumia sana unaweza kupata kansa, hii ni imani potofu ambayo Watu wengine hawataki kabisa kuona dawa za hospitalini wakidai kuwa zinasababisha kansa kwa hiyo hii si kweli kwa sababu kansa hausababishwi na madawa ya hospitalini bali usababishwa na seli kuzalishwa bila mpangilio na sio dawa za hospitalini.
5.Kwa hiyo Watu wanapaswa kutumia dawa za hospitalini kwa sababu zina vipimo mbalimbali na utibu Magonjwa yote kwa wakati kwa hiyo Watu waache imani potofu juu ya madawa haya.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inahusu zaidi matumizi ya dawa za vidonda vya tumbo, ili kuweza kutumia dawa hizi ni vizuri kabisa kufuata mashariti kama ifuatavyo.
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu dawa za mitishamba za kutibu meno
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi namna au njia ya kufanya Ili kuweza kutumia tiba hii ya jino, kwa sababu ya mchanganyiko ambao umekwisha kuwepo kwa hiyo unachumua mchanganyiko unafanya kama ifuatavyo.
Soma Zaidi...DAWA YA MAPUNYEMatibabu ya mapunye inategemea ni wapi mapunjye yapo.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi dawa ya Rifampin kama dawa mojawapo ya kutibu kifua kikuu.
Soma Zaidi...Post hii inahusu dawa ya aspirin katika kupunguza maumivu,ni dawa ambayo upunguz maumivu ya Kawaida, kushusha homa na pia usaidia kwenye magonjwa ya moyo hasa kuzuia stroke kama imetokea mda ndani ya masaa ishilini na manne
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi dawa ambazo zinatumika kwenye matibabu ya kansa, dawa hizi usaidia kuharibu seli ambazo ambazo hazistahili kwa kitaalamu huitwa malignant seli.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi dawa ya amoxline .jinsi inavyofanya kazi mwilini.pamoja na matumizi yake.
Soma Zaidi...