Posti hii inahusu zaidi kuwepo kwa mabonge ya damu wakati wa hedhi, tunajua kabisa wakati wa hedhi damu inapaswa kuwa nyepesi na ya kawaida ila kuna wakati mwingine inakuwa na mabonge zifuatazo ni sababu za kuwepo kwa mabonge ya damu wakati wa hedhi.
Sababu za kuwepo kwa mabonge ya damu wakati wa hedhi.
1. Kama tulivyoona hapo mwanzoni kwamba damu wakati wa hedhi inapaswa kuwa ya kawaida na isiwe na aina yoyote ya mabonge lakini kuna wakati unafika ambapo damu wakt wa hedhi inakuja ikiwa nzito na yenye mabonge mabonge mengi, hali hii usababishwa na mambo yafuatayo .
2. Maambukizi kwenye via vya uzazi.
Kwenye via kama kuna Maambukizi hali hii utokea Maambukizi ha ya magonjwa ya ngono kama vile kaswende, kisonono na mengine kama hayo, na si Magonjwa ya ngono tu kuna maambukizi kwenye mlango wa kizazi nao pia usababisha damu kuja ikiwa nzito kwa hiyo kama hali hiyo ikitokea ni lazima kwenda kwenye vipimo ili kuangalia shida ni ipi na kutibiwa mara moja
3.Kuwepo kwa uvimbe kwenye mfuko wa uzazi na kwenye ovari, kama kuna uvimbe wowote uweza kusababisha mabonge mabonge ya damu wakati wa hedhi kwa hiyo ni lazima kufanya vipimo vya kwenye mfumo wa uzazi na kwenye ovary ili kuweza kutambua tatizo lililopo kwa Mama au dada yeyote mwenye tatizo kama hili
4.mabadiliko ya homoni.
Pengine utokea kwa sababu ya kuwepo kwa mabadiliko ya homoni ambazo zinahusika na kupandisha yai kutoka kwenye ovari, kuandaa mfuko wa uzazi, na kuaribu mfuko wa uzazi kama hakuna mimba katika hatua zote hizi kama kuna shida yoyote kwenye homoni na damu utoka kama mabonge mabonge na hali hii utokea mara chache inaweza kuwa kama miezi miwili na baadae uacha ila kama ni Maambukizi uendelea.
5.Kwa hiyo hali hii ikitokea mara kwa mara ni lazima kuchukua hatua za haraka ili kama ni Maambukizi yatibiwe mara moja ili kuzuia matatizo mengine kama vile utasa
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Maumivu ya tumbo baada ya tendo la ndoa yanaweza kuwa ni dalili ya maradhi fulani, ama shida kwenye mfumo w uzazi. PID na UTI hutuhumiwa kuwa ni katika sababu hizo. Ila zipo nyingine nyingi tu. Kama ina hali hii vyema ukafika kituo cha afya
Soma Zaidi...Posti hii inahusu namna ya kumpima mtoto uzito, ni njia ambayo utumika kujua uzito wake na maendeleo ya mtoto.
Soma Zaidi...SIKU YA KUPATA UJAUZITO Mimba hutokea pindi mbegu ya kiume (sperm) inapokutana na yai la mwanamke (ova) na kuungana kwa pamoja kutengeneza selli moja iitwayo zygote.
Soma Zaidi...Utawezaje kukabiliana na changamoto za ujauzito, je ni zipi changamoto hizo. Hapa nitakujuza.
Soma Zaidi...Posti hii zaidi kazi ya Dawa ya metronidazole katika kutibu Minyoo, ni aina ya Dawa ambayo imetumiwa na watu wengi wakaweza kupona na kuepukana na minyoo. Zifuatazo ni baadhi ya kazi za metronidazole.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi madhara ambayo mtu anaweza kupata ikiwa mwili utaeweza kutengeneza progesterone ya kutosha.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu maumivu wakati wa tendo la ndoa na baada
Soma Zaidi...