Post hii inahusu zaidi imani potofu kuhusu uzazi wa mpango, ni imani walizonazo Watu kuhusu matumizi ya uzazi wa mpango.
Imani potofu kuhusu uzazi wa mpango.
1.watu wengi wanaamini juwa njia za uzazi wa mpango ni kwa ajili ya wanawake kwa hiyo wanaume hawapaswi kuingilia ndoa maana unakuta wanawake ndio wanaenda kwenye uzazi wa mpango hali hiyo inamfanya mwanamke peke yake kupanga mwenyewe idadi ya watoto anaiwapenda bila kushirikisha mwanaume
2.Watu wanaamini kubwa uzazi wa mpango inapoteza hamu ya tendo la ndoa na hivyo Watu wengi wameacha kutumia kondomu uingiliana hivyo hivyo hivyo na kusababisha maambukizi ya virus vya ukimwi na Magonjwa ya ngono kwa sababu ya kuwepo kwa imani potofu.
3. Kuna wengine wanadhibiti kusema kwamba uzazi wa mpango usababisha ugumba kitu ambacho si kweli kwa sababu wapo watu wengi wametumia uzazi wa mpango na bado wanaendelea kupata watoto kwa kadiri wanavyotaka.
4. Kwamba kondomu inaweza kupotea kwenye via vya uzazi wa mama, hiki ni kitu ambacho hakiwezejani kwa sababu ukiangalia maumbile ya mama kondomu haiwezi kupotea kwa kiwango hicho .
5.Kuna wengine wanaamini kubwa njia za uzazi wa mpango zinaweza kuleta madhara makubwa na kusababisha vifo kwa akina Mama , ni sawa madhara yapo ila hayawezi kufikia kiasi cha kutoa uhai wa mama.
6.Njia za uzazi wa mpango usababisha kupata mtoto mfu kwa hiyo kupata mtoto mfu sio kwa sababu ya uzazi wa mpango bali ni sababu nyingine nyingi ambazo zinaweza kuchangia hilo sio kweli.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Mimba inaweza kutoka kutokana na maradhi, majeraha ama misukosuko mimgine. Kutoka kwa mimva haimaanishi ndio mwisho wa kizazi.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi mambo mbalimbali yanayodhoofisha afya za wanaume, kwa wakati mwingine wanaume ukosa kujiamini kwa sababu ya mambo ambayo yanaadhiri afya za wanaume.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi mambo anyopaswa kujua akiwa mjamzito. Ni mambo muhimu ya kuzingatia kwa mama akiwa mjamzito.
Soma Zaidi...Post hii inakwenda kukufunza mambo mengi kuhusu tezi dume kama chanzo, dalili, matibabu, njia za kujikinga na mambo hatari yanayoweza kukusababishia kupata tezi dume.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi tabia mbalimbali za Ute wa ovulation kwa sababu Ute huu huwa tofauti na Ute mwingine kwa sababu ya kuwepo kwa tabia zake za kipekee kama tutakavyoona.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi chanzo cha mvurugiko wa hedhi, Kuna kipindi hedhi uvurugika kabisa, pengine unaweza kupata hedhi mara mbili kwa mwezi au kukosa au pengine siku kuwa zaidi ya tano mpaka Saba au kuwa chache, hali hii utokea kwa sababu mbalimbali tut
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi mabadiliko ya uzito kwa mjamzito, hii ni hali ya kubadilika kwa uzito kwa Mama akiwa na Mimba
Soma Zaidi...Je unasumbuliwa na Majimaji kwenye uume. Je unapata miwasho, ama maumivu wakati wakukojoa.
Soma Zaidi...