Madhara ya mwili kujaa sumu
Posti hii inahusu zaidi madhara ambayo yanaweza kupatikana ikiwa mwili unaweza kujaa sumu, kwa sababu mwili unapaswa kuwa huru Ili kuweza kufanya vizuri kazi yake ila ikiwa utajaa Sumu Kuna hatari mbalimbali zinaweza kutokea kama vile.
Madhara ya mwili kujaa sumu.
1.mwili ukijaa Sumu Kuna madhara ya kupata maambukizi kwenye Figo kwa kawaida tunafahamu kazi kubwa ya Figo kwa hiyo Figo likipata matatizo kunakuwepo na Sumu nyingi mwilini hali ambayo usababisha matatizo mengi mwilini na Figo ushindwa kufanya kazi yake.
2. Vile vile kunakuwepo na maambukizi kwenye inii , kwa kawaida Sumu ikiwa nyingi mwilini na ini linakuwa na kazi kubwa ya kuweza kufanya kazi yake hali ambayo usababisha maambukizi kwenye inii hali inayosababisha ini kushindwa kufanya kazi yake au inafanya kazi kwa shida kubwa.
3. Pia Sumu ikiwa nyingi mwilini Kuna tatizo la kupata ugumba, kwa sababu ya kuenea kwa Sumu na kazi ya homoni za uzalishaji upata shida sana hali ambayo usababisha kuwepo kwa ugumba kwa hiyo ni vizuri kabisa kupunguza Sumu mwilini Ili kuweza kufanya kuwepo kwa mimba.
4. Pia kuwepo kwa Sumu mwilini usababisha kuwepo kwa uvimbe kwenye mwili au pengine uvimbe kwenye kizazi kwa sababu Sumu nyingi uweza kujilunda kwenye sehemu mbalimbali za mwili na kusababisha kuwepo kwa uvimbe.
5. Kuwepo kwa shinikizo la damu.
Kwa sababu ya kuwepo kwa Sumu kwenye mishipa usababisha moyo kusukuma damu kwa shida na hivyo usababisha shinikizo la damu.
6. Kwa hiyo baada ya kuona hasara mbalimbali ambazo utokana na uwepo kwa Sumu mwilini tunapaswa kuhakikisha kuwa tunaepukana na vitu ambayo usababisha kuwepo kwa Sumu kwenye mwili na kuimarisha afya zetu vizuri Ili tuweze kuepukana na tatizo la kuwepo kwa Sumu mwilini
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Kitau cha Fiqh 👉2 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉3 Bongolite - Game zone - Play free game 👉4 Madrasa kiganjani 👉5 ai web app 👉6 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)
Post zinazofanana:
Dalili kuu 7 za malaria na dawa ya kutibu malaria
Makala hii itazungumzia dalili za Malaria, athari za kuchelewa kutibu malaria, na matibabu ya malaria
Soma Zaidi...Maambukizi ya njia ya mkojo kwa wanawake
​Maambukizi ya Njia ya Mkojo (UTI) ni moja kati ya changamoto kubwa za kiafya zinazowasumbua wanawake wengi kote ulimwenguni. Makala haya yanajadili kwa kina vyanzo vya maambukizi haya, dalili zake, sababu zinazowafanya wanawake kuwa katika hatari zaidi, mbinu za kujikinga, na ufafanuzi wa ukweli wa kisayansi dhidi ya dhana potofu zilizopo kwenye jamii.
Soma Zaidi...Dalili za mimba changa kutoka
Post hii inaenda kuzungumzia zaidi kuhusiana na mimba zinazoharibika . mimba huweza kuaribika au kutoka anzia miezi 3 na kuendelea .
Soma Zaidi...Dalili za ugonjwa wa fungusi uken
Post hii inahusu zaidi ugonjwa wa fungusi uken, ni ugonjwa unaoshambulia sana sehemu za Siri ambao huwa na dalili kama zifuatazo.
Soma Zaidi...Ni zipi dalili za awali za pumu
Kabla ya kubanwa zaidi na pumu, kuna dalili za awali zinzznza kujitokeza, na hapo ndipo utakapoanza kuchukuwa tahadhari. Makala hii itakwenda kukujulisha zaidi kuhusu dalili hizo.
Soma Zaidi...