Tatizo la kutokwa na utelezi wenye damu baada ya hedhi

Posti hii inahusu zaidi dalili mbalimbali za kutokwa na damu baada ya hedhi hili ni tatizo ambalo uwapata wanawake wengi pamoja na akina Mama kwa sababu ya kutokwa na damu yenye utelezi baada ya hedhi.

Sababu za tatizo la kutokwa na damu yenye utelezi baada ya hedhi.

1. Kuwepo kwa uvimbe kwenye kizazi au kwa kitaalamu huitwa fibroids.

 

2. Kuwepo kwa tatizo la kuvimba kwenye ukuta wa mfuko wa kizazi.

 

3. Kuwepo kwa tatizo la saratani ya shingo ya kizazi.

 

4. Kuwepo kwa tatizo la uvimbe kwenye kwenye vigfuko vya mayai.



Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/07/25/Monday - 11:24:21 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 5316


Download our Apps
👉1 Kitabu cha Afya     👉2 kitabu cha Simulizi     👉3 Kitau cha Fiqh     👉4 Madrasa kiganjani    

Post zifazofanana:-