Posti hii inahusu zaidi sababu za kuwepo kwa hedhi zaidi ya mara moja kwa mwezi mmoja, mara nyingi kuna Watu ambao huwa wanalalamika kwa sababu ya kupata hedhi za mara kwa mara kwa mwezi mmoja.
Sababu za kuwepo kwa hedhi za mara kwa mara katika mwezi mmoja.
1.Mabadiliko ya homoni.
Mara nyingine hedhi za mara kwa mara utokea kwa sababu ya kuwepo kwa mabadiliko ya homoni, homoni nyingine baada ya kuruhusu yai moja Litoke kwa mwezi mmoja uweza kuruhusu mayai mawili ndani ya mwezi mmoja na hali hiyo usababisha msichana au mama kupata hedhi mara mbili kwa mwezi mmoja.
2.Kukua kwa mfuko wa kizazi.
Hali hii uwapata sana wale wanaoanza kuingia kwenye hedhi wanaweza kupata hedhi mara mbili ni kwa sababu mfuko wa uzazi unakuwa unakomaa au pengine wanaweza kukosa kwa miezi miwili au mitatu ya mwanzo na baadaye hali inakuwa kawaida wasiogope hali hiyo ni ya kawaida utokea na mara maisha yanaendelea.
3.Kwa wanawake wanaotumia vitanzi.
Hawa ni wale wanaotumia njia hii ya uzazi wa mpango na uweza kuingia kwenye siku zao za mwezi mara moja zaidi na baadae hali uwa kawaida ni kwa sababu ya mabadiliko kwenye mwili kwa sababu ya kitu kilichoingilia mfumo wa via vya uzazi na mabadiliko utokea kwa mda kama miezi miwili hivi na baadae hali inaendelea kama kawaida.
4.Kuwepo kwa maambukizi kwenye mfuko wa uzazi , kama kunaagonjwa au kuwepo kwa uvimbe usababisha pi mtu kuingia kwenye siku zake za mwezi mara mbili au zaidi kwa mwezi mmoja, kwa hiyo ni vizuri kabisa kupima maambukizi mara kwa mara ili kuangalia kama kuna mambukizi au kama kuna uvimbe wowote unaosababisha mwanamke kuingia kwenye siku zake za mwezi zaidi ya mara moja
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Utajifunza dalili za minyoo, sababu za minyoo na namna ya kujiepusha na minyoo. Dalili kuu 5 za minyoo mwilini
Soma Zaidi...Je unawaza nini endapo bikra itatolewa bila wewe kukusudia, je imetolewa kwa njia ya kawaida yaani uume ama ilikuwa ni ajali?
Soma Zaidi...Inatakiwa angalau nafasivkati ya mtoto na mtoto wapishane miaka miwili.
Soma Zaidi...Nimesoma makala yenu, sasa nina swaliJe kitunguu saumu kina madhara kwa Mgonjwa wa figo?
Soma Zaidi...Post hii inaenda kufundisha kuhusiana na uvimbe wa kizazi kwa wanawake. Uvimbe wa kizazi no uvimbe ambao hutokea kwenye tumbo la kizazi ambao unaweza kuwa ndan ya kizazi uvimbe huu ndan ya mwanamke hujulikana kama (uterine myoma au fibroid). Uvi
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi namna ya kutibu tatizo la ugumba kwa Mwanaume, ni njia ambazo utumiwa na wataalam mbalimbali Ili kuweza kutibu tatizo la ugumba kwa wanaume.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi Madara ya kutomsaidia mama anayetokwa na damu nyingi baada ya kujifungua.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi viti vilivyopo kwenye maji ya Amniotic fluid, ni jumla ya vitu vyote vilivyopo kwenye maji ya Amniotic fluid.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi mabadiliko ya uzito kwa mjamzito, hii ni hali ya kubadilika kwa uzito kwa Mama akiwa na Mimba
Soma Zaidi...