Posti hii inahusu zaidi dawa ya Dapsone na kazi zake, hii ni dawa ambayo utumika katika kutibu ugonjwa wa ukimwi, dawa hii ufanya kazi kwa mchanganyiko wa dawa nyingine kama vile Rifampicin na clofaximine.
Dapsone na kazi zake.
1.Ni mojawapo ya dawa inayotumika kutibu maambukizi kwenye ngozi ikiwemo na ukoma kama tulivyoona hapo juu kuwa dawa hii haitibu ugonjwa huu peke yake na huwa na mchanganyiko na dawa nyingine, dawa hii ufanya kazi kwa kufubaza bakteria ambao usababisha ukoma na hatimaye wadudu uishiwa nguvu na kutoweka kabisa.
2.Katika matumizi ya Dawa hii pamoja na dawa ambazo uambatana nazo yaani utolewa kwa vipindi viwili muhimu ambavyo ni miezi sita na miezi kumi na miwili katika miezi kumi na miwili mgonjwa utumia mchanganyiko wa Rifampicin, Dapsone na clofazimine na wakati wa kipindi cha miezi sita mgonjwa utumia Rifampicin na Dapson, mchanganyiko huo utolewa ili kuwezesha uponyaji kwa wagonjwa wa ukoma
3.Pia katika matumizi ya dawa hizi ya Dapson kuna maudhi madogo madogo ambayo uweza kutokea kama vile kutapika, kichefuchefu, kuharisha, maumivu ya kichwa, mapigo ya moyo kubadilika, kusinzia sinzia,kuchanganyikiwa kwa mgonjwa kwa hiyo katika matumizi ya dawa hizi mgonjwa anapaswa kuwa katika uangalizi wa karibu zaidi ili pakitokea maudhi yanazidi aweze kupewa msaada wa matibabu.
4.Katika matumizi ya dawa hii kuna wale ambao wanapaswa kutumia dawa hizi kwa uangalizi kwa mfano hii dawa usababisha mapigo ya moyo kubadilika kwa hiyo wenye Magonjwa ya moyo wanapaswa kutumia kwa uangalifu zaidi,na kwa wale wenye matatizo ya kuishiwa damu wanapaswa kutibu kwanza kuishiwa damu na hatimaye kutumia dawa hizi.
5.Kw hiyo tunajua kubwa Ugonjwa wa ukoma upo na kadiri Watu wanavyotumia dawa unazidi kupungua kwa hiyo tunapaswa kuwaleta wagonjwa wa ukoma hospitalini ili wapewe dawa kwa maana ugonjwa huu unatibika na tuache kuwanyanyapaa wagonjwa wa ukoma ila tuwapeleke wapate tiba sio kuwafukuza majumbani mwetu na kuwatenga wakashinda wanaomba omba ili kupata mahitaji kwa hiyo jamii inapaswa kupewa elimu ya kutosha kuhusu tiba ya ugonjwa huu.
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowUmeionaje Makala hii.. ?
Post hii inahusu dawa ya kupambana na bakteria, hili kundi la fluoroquinolones lina dawa kuu mbili ambazo ni ciprofloxin na ofloxacin.
Soma Zaidi...Maumivu ya mgongo hutokea sana kwa wajawazito. Ijapokuwa ni hali ya usumbufu sana ila hakikisha hautumii madawa kiholela kutoka maduka ya dawa ama miti shamba. Kwani ukikisea kidogobinawezabhatarisha afya ya mtoto
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi dawa ya Acetohexamide kwa matibabu ya sukari, kama tulivyoona katika post iliyopita kwamba kuna kipindi ambacho kongosho linatoa insulini lakini seli haziko tayari kupokea hiyo insulini.
Soma Zaidi...Post hii inahusu dawa za kifua kikuu ni dawa ambazo utumika kutibu kifua kikuu, kwanza kabisa kabla ya kuanza kufahamu dawa hizo ni vizuri kabisa kufahamu kifua kikuu nini hili kuweza pia kufahamu dawa zake.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi dawa ya cloxacillin ambayo Iko kwenye kundi mojawapo la penicillin ambalo uzuia enzymes zinazotengenezwa na bakteria.
Soma Zaidi...Utajifunza dalili za fangasi mdomoni na ulimini, sababu za fangasi wa mdomoni na ulimini, matibabu yeke na njia za kukabiliana nao
Soma Zaidi...PID ni mashambulizi ya bakteria kwenye mfumo wa uzazi kwa wanawake. Hapa nitakujulisha dawa
Soma Zaidi...