Posti hii inahusu zaidi magonjwa ya moyo, kwa kawaida watu wakisikia habari za magonjwa ya moyo huwa hawaelewi yanakuwaje kuwaje, Leo nataka niwafahamishe kuhusu magonjwa ya moyo na sehemu mbalimbali zinazoathirika.
1. Kwanza kabisa tunapaswa kufahamu kuwa asilimia kubwa ya watu wenye matatizo ya moyo upata shida sana kiafya kwa sababu uweza kunyongenyea kwa sababu kazi ya moyo ni kubwa sana ambayo ni kusukuma damu kwenye sehemu mbalimbali za mwili,iwapo kama damu haijasambaa ni tatizo kubwa sana kwa hiyo ni vizuri kujua ni vipi na kwa namna gani moyo upata matatizo.
2. Mashambulizi kwenye misuli ya moyo.
Kuna wakati utasikia watu wanalalamika kuwa mtu Fulani ana matatizo ya moyo na hawajui tatizo likoje, kwa hiyo mashambulizi yakiwa kwenye sehemu za misuli uweza kusababisha moyo kusukuma damu kwa shida kubwa.
3. Pia Kuna mashambulizi kwenye mishipa ya moyo.
Kuna wakati mwingine mishipa ya kwenye moyo ushindwa kupeleka damu vizuri kutoka sehemu Moja kwenda nyingine ambapo usababisha mwili kukosa damu ya kutosha na kusababisha mgonjwa kukosa nguvu kama ni mtoto ukuaji unakuwa ni WA shida sana.
4. Mashambulizi kwenye valve za moyo.
Kuna wakati mwingine damu utoka kwenye sehemu mbalimbali za mwili na kuingia kwenye moyo kwa kupitia kwenye valve Kuna wakati mwingine valve upata mashambulizi hali inayosababisha kazi ya kusambaa kwa Damu kuwe na shida
5. Tunfu kwenye moyo.
Kwa wakati mwingine kunakuwepo na tundu kwenye sehemu mbalimbali na of kufanya hali ya mgonjwa kuwa mbali hasa pat
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Hapa utajifunza sababu zinzopelekea mdomo kubadilika ladha na kuwa mchungu, ama mchachu.
Soma Zaidi...Hepatitis B Ni maambukizi ya ini ambayo yamekuwa sugu kuanzia mwezi na kuendelea.
Soma Zaidi...Maumivu ya tumbo upande wa kushoti, kwa mwanamke huwenda ikawa ni ujauzito ama shida nyingine za kiafya kama tumbo kujaa gesi, kukosa choo na kadhalika. Sasa vipi kwa wanaume ni ipi hasa sababuรขยโ
Soma Zaidi...Posti hii inaelezea kuhusiana na dalili na sababu zinazopelekea Ugonjwa wa kuziba kwa Njia ya machozi yaani kukosa machozi ambayo husababishwa na maambukizi.
Soma Zaidi...NENO LA AWALI Hapa utaweza kujifunza mambo mengi kuhusu vidonda vyatumbo.
Soma Zaidi...UGONJWA WA GONORIA NA DALILI ZAKE (GONORRHEA)Gonoria (gonorrhea) ni katika maradhi yanayoambukizwa kwa njia ya ngono.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu namna ya kumsaidia mgonjwa aliyepungukiwa na damu kwa sababu ya minyoo.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu dalili za figo.figo husawazisha maji mwilini pamoja na kuchuja mkojo.
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia kuhusiana na Ugonjwa wa akili .
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu sababu za maumivu ya tumbo kitovuni na dalili zake
Soma Zaidi...