Njia za kusambaa kwa ugonjwa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine
Posti hii inahusu zaidi jinsi magonjwa yanavyosambaa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine.
Jinsi magonjwa yanavyosambaa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine.
1. Kwa kawaida magonjwa usambaa kwa njia kuu mbili yaani njia ya Moja kwa Moja ambayo kwa kitaalamu huitwa direct transmission ambapo unaweza kusambaa ugonjwa kwa kubusiana, kujamiiana na kugusana ambapo ugonjwa uenda Moja kwa Moja kwa mwingine. Pia Kuna njia nyingine ambayo siyo ya Moja kwa Moja ambapo huwezi kuambukiza ugonjwa Moja kwa Moja mpaka upitie kwa kitu ambapo njia huyo huitwa inderect transmission na hiyo njia imegawanyika kama ifuatavyo.
2.ugonjwa unaweza kusambazwa na wadudu ambapo kwa kitaalamu huitwa vector transmission ambapo mdudu haingizi ugonjwa Moja kwa Moja kwenda mwili Ili kuonyesha maambukizi Bali upitia kwenye hatua Moja kwenda kwa mwingine, kwa mfano mdudu anayeeneza malaria kwa kawaida uingia kwenye Damu na baadae malaria upatikana kwa hiyo ugonjwa umepitia kwenye mdudu ndo maana tunaita siyo Moja kwa Moja.
3. Pia ugonjwa mwingine upitia kwenye maji maji ambapo kwa kitaalamu huitwa droplt, utokea pale mtu akipiga chafya au kukohoa .
4. Njia nyingine ni kupitia kwenye maumivu ambayo kwa kitaalamu huitwa Airborne disease ambapo wadudu utoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine kwa njia ya vumbi.
5. Pengine ugonjwa upitia katika vitu ambayo vimechafuliwa au sio visafi kwa kitaalamu huitwa vehicle mode of transmission kwa mfano kumwekea mtu dawa yenye virus vya ukimwi au virus vya homa ya inn bila kupima kwa hiyo wadudu wanaweza kusambaa kwa mtindo huo
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 kitabu cha Simulizi 👉2 ai web app 👉3 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉4 Dua za Mitume na Manabii 👉5 Kitau cha Fiqh 👉6 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)
Post zinazofanana:
Ugonjwa wa saikolojia wa kujitenga na watu.
Ugonjwa wa kuharibika kwa mwili ni aina ya ugonjwa sugu wa Akili ambao huwezi kuacha kufikiria kuhusu kasoro katika mwonekano wako au ya kuwaziwa. Lakini kwako, mwonekano wako unaonekana kuwa wa aibu sana hivi kwamba hutaki kuonekana na mtu yeyote
Soma Zaidi...Sababu za maumivu ya tumbo
hapa utajifunza maradhi mbalimbali yanatopelekea kuwepo kwa maumivu ya tumbo
Soma Zaidi...Mate yanaweza kuambukiza ukimwi
Jibu ni hapana, matehayawezi kuambukiza HIV. Lakini swali unalotakiwa kulijibu je ni kwa nini mate hayaambukizi. Makala hii itakwend akukupa majibu haya
Soma Zaidi...Dalili za Uvimbe kwenye mfuko wa uzazi (uterine fibroid)
Uvimbe kwenye mfuko wa uzazi hukua kutoka kwenye tishu laini za misuli ya uterasi. Fibroids nyingi ambazo zimekuwepo wakati wa ujauzito hupungua au kutoweka baada ya ujauzito, kwani uterasi inarudi kwenye ukubwa wa kawaida.
Soma Zaidi...