Maswali mbalimbali kuhusu fiqih
Zoezi la 5.
(b) Orodhesha ibada maalumu kama ulivyojifunza.
2.“Sikuwaumba majini na watu ila wapate kuniabudu” (51:56).
Kwa kurejea aya hii, bainisha ni kwa vipi mwanaadamu anaweza kumuabudu Mwenyezi Mungu (s.w) katika kila kipengele cha maisha.
3.Ni upi uhusiano kati ya ibada maalumu na maisha ya kila siku?
4.Onesha upotofu juu ya dhana kwamba, ‘ibada maalumu ndio lengo kuu la kuumbwa mwanaadamu’.
5.Kwa kurejea aya ya Qur’an (3:190-191), fafanua namna ambavyo maumbile na viumbe mbali mbali vimeumbwa kumtumikia mwanaadamu ili afikie lengo la kuumbwa kwake.
6.Eleza kwa muhtasari, kwa nini waislamu katika jamii yako hawafikii lengo la kuumbwa kwao pamoja na kutekeleza ibada maalumu.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Sunnah na hadithi (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu)
Soma Zaidi...Kipengele hichi kina maswali mbalimbali kuhusiana na dini na mitazamo mbalimbali.
Soma Zaidi...Asalaamu alykum warahmatullah wabarakaatuh Sifanjema zinamstahikia Allah Mola wa viumbe, muumba wa mbingu na ardhi na vilivyomo.
Soma Zaidi...