Posti hii inazungumzia kuhusiana na sababu zinazopelekea kukosa choo ,yaani kinyesi kuwa kigumu au kukosa kabisa choo.
Zifuatazo Ni sababu zinazopelekea kukosa choo.
1.kutokunywa maji;maji yanasaidia kulainisha choo na mmeng'enyo wa chakula ili kinyesi kiweze kutoka sasa endapo hutokunjwa maji hupelekea kukosekana kupata choo.
2.kubana kinyesi; hii nayo Ni Hatari Sana kubana kinyesi endapo utasikia kuenda haja kubwa jitahidi kuenda chooni ili usisababishe kukosa choo.
3.kutokula mbogamboga na matunda ;matunda Kama papai, parachichi n.k na mboga za majani husaidia Sana usipate Ugumu wa choo.
4.kula vyakula vya wanga Sana Kama vile ugali wa sembe, unga wa ngano, husababisha mtu kupata choo kigumu Tena endapo utakula Kila siku na bila kunywa na maji.
5.nyama nyekundu; Kama vile mishikaki na supu kwa wale wanaotumia kwa Sana
6.vyakula vilivyosindikwa.
7.chips mayai na juisi hupelekea kukosa choo.
Dalili za kukosa choo Ni pamoja na;?
1.kukosa hamu ya kula
2.kupata maumivu ya kiuno
3.choo kuwa kigumu
4.mwili kuishiwa nguvu.
5.tumbo kuuma au kuvurugika.
Mwisho; kukosa choo kiafya Ni ugonjwa lakini Kuna watu wanaonaga Kama Kawaida hivyo basi ukiona dalili za kukosa choo Ni vyema kuwahi hospitali kupata matibabu.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu ugonjwa wa kiseyeye na dalili zake
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia kuhusiana na dalili za maambukizi ya sikio kwa watoto.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi njia au mbinu mbalimbali ambazo zinaweza kutumika ili kuweza kuepukana na tatizo la ugonjwa wa homa ya uti wa mgongo.
Soma Zaidi...MAGONJWA YA INI NA DALILIZAKE, NA KUKABILIANA NAYO Ini ni katika viungo vikuu katika mwili wa binadamu.
Soma Zaidi...posti hii inazungumzia kuhusiana na Ugonjwa na Ugonjwa unaohusiana na joto ambao hujulikana Kama Anhidrosis ni kutoweza jasho kawaida. Usipotoa jasho mwili wako hauwezi kujipoza, jambo ambalo linaweza kusababisha joto kupita. wakati mwingine inaweza k
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu maana ya undetectable viral load
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi mlo kwa wagonjwa wa figo wanaochujwa damu, ni wagonjwa ambao figo zao zimeharibika na zimeshindwa kufanya kazi au pengine kuna uchafu mwingi mwilini ambao uchujwa kwa hiyo kuna vyakula muhimu ambavyo wagonjwa wa figo wanapaswa kutu
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu madhara ya gonorrhea endapo haitotibiwa
Soma Zaidi...Ukistaajabu ya Musa utastaajabu ya Firauni. Haya ni maneno ya wahenga. Sasa hebu njoo u staajabu ya damu
Soma Zaidi...