Posti hii inahusu zaidi hatua za kufuata unapohisi umeambukizwa na virus vya ukimwi. Kwa sababu watu wengi wanakuwa na kiwewe anapohisi ameambukizwa na virus vya ukimwi kwa hiyo wanapaswa kufanya yafuatayo.
1. Hatua ya kwanza ni kutulia na hakikisha umefanya matibabu ndani ya Masaa sabini na mbili au zisizidi siku tatu kabla ya kufanya matibabu ukichekewa maambukizi yanakuwepo kama kawaida.
2. Hatua ya pili ondoa nguo zote ambazo zimechafuliwa hii utegemea na maambukizi uliyopata yametokana na nini kama ilikuwa ni ajali ondoa nguo zote na ikiwezekana oga Ili kuweza kuepuka kukaa na uchafu uliotokana na maambukizi.
3. Kama umechomwa na sindano acha kidonda kitililike damu na kama sindano bado imo kwenye kidonda itoe tu kawaida huku ukitulia kwa sababu ukichachamaa unaweza kusababisha kujichoma zaidi na kuongeza maambukizi ambayo hatakutarajia.
4. Sehemu ambayo imechomwa inapaswa kuoshwa vizuri kwa maji safi na Sabuni Ili kuondoa maambukizi mengine ambayo ni tofauti na ukimwi kwa hiyo osha na hakikisha sehemu ni safi.
5. Kama sehemu iliyoadhirika ni sehemu ya macho,pia na mdomo osha kwa macho tililika au kama ni jicho epuka kulitekenya tekesha osha kwa maji tililika na katika kutosha daima utulivu ni WA muhimu.
6. Baada ya kufanya hayo toa taarifa kuhusu yaliyokupata kwa wanaohusika au wakubwa wako kazini au mkubwa wako yoyote.
7. Kapime kama ulikuwa na maambukizi kabla kwa sababu unaweza kuwa na maambukizi bila kujua na pia tumia dawa za kuzuia mzio au aleji.
8. Pia ni vizuri kabisa kupima afya ya yule uliyedhank kakuambukiza kama inawezekana na ukijua ana maambukizi anza dawa mara Moja na kama Hana wewe anza uwezi jua.
9. Kwa hiyo hizo ni baadhi ya hatua za kufuata ila zifanyike ndani ya masaa sabini na mbili
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inahusu zaidi umuhimu wa kutumia dawa za kujikinga na maambukizi ya ukimwi, ni faida ambazo upatikana kwa watu wanaodhani wameambukizwa na virus vya ukimwi na kuweza kujikinga.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi kazi ya chanjo ya Surua kwa watoto, ni Aina ya chanjo ambayo utolewa kwa watoto na kufanya kazi mbalimbali mwilini ambazo ni kumkinga mtoto asipatwe na magonjwa.
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia kuhusiana na mbinu za kutoa huduma ya kwanza kwa aliyeungua na Moto.
Soma Zaidi...Kunywa soda ama dawa kwenyechupa zakioo ambayo ina ufa ama mipasuko ni hatari. Ni kwa sababu huwezijuwa huwenda kipande kikaingia mdomoni na umangimeza. Sasa nini ufanye endapo umeshakula?
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukuletea namna ambavyo mwili unapambana na maradhi
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi malengo ya kusafisha vidonda, kwa sababu Kuna watu wengine huwa wanajiuliza kwa nini nisafishe kidonda hospitalini au kwenye kituo chochote Cha afya, yafuatayo ni majibu ya kwa Nini nisafishe kidonda.
Soma Zaidi...Nimeambiwa presha yangu umeshuka iko 90/60 na Nina umri wa miaka 26 KawaidaMtu anatakiwa na kiwango gani Cha presha
Soma Zaidi...