Posti hii inahusu zaidi sababu za mtoto mchanga kuzaliwa akiwa na uzito mkubwa, ni tatizo ambalo utokea kwa baadhi ya wajawazito kupata mtoto mwenye Uzito mkubwa, wengine uona kama ni sifa ila Kuna madhara yanaweza kujitokeza kwa Mama hasa wakati wa kujif
1. Kwanza kabisa tunapaswa kujua kuwa mtoto ili awe na uzito wa kawaida ni kuanzia kilo mbili na nusu mpaka kilo tatu na nusu, ikitokea mtoto akazaliwa na uzito chini ya kilo mbili na nusu atakaa hospital kwa uangalizi zaidi Ili aweze kufikisha kilo mbili na nusu au karibu yake,
Na pia Kuna tatizo lingine ambapo mtoto anazaliwa na uzito zaidi ya kilo nne na hii ni shida kwa sababu Mama anaweza kupata matatizo wakati wa kujifungua au kwa wakati mwingine kuchanika via vya uzazi au kufanyiwa upasuaji wakati wa kujifungua.
2. Sababu ya kwanza ya kuzaliwa kwa mtoto mwenye Uzito mkubwa ni sababu za kuridhi, unaweza kukuta familia nzima watu wote wanazaliwa wakiwa wanene na pia familia nzima ni wanene.
Kwa hiyo watu kama Hawa ujifungua kwa upasuaji au wakati wa kujifungua kuchanika kwa baadhi ya via vya uzazi na hali hii usababisha maumivu na mateso makubwa kwa akina Mama, au pengine kama ni upasuaji usababisha kupata watoto Wachache ambapo si mategemeo ya wazazi.
3. Sababu nyingine utokea kwa akina Mama wenye kisukari kwa sababu kwenye damu ya Mama Kuna sukari ya kutosha kwa hiyo mtoto upata chakula cha kutosha akiwa tumboni.
Kwa hiyo watoto Hawa wakizaliwa uhitaji uangalizi kwa karibu kwa sababu wakitoka nje bila kupata au kuongezewa glucose wanaweza kuingia kwenye tatizo la kushuka kwa sukari, kwa akina Mama wenye tatizo la kuzaa watoto wenye kilo kubwa ni vizuri kuzalia hospital kwa uangalizi na huduma za karibu.
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowPosti hii zaidi kazi ya Dawa ya metronidazole katika kutibu Minyoo, ni aina ya Dawa ambayo imetumiwa na watu wengi wakaweza kupona na kuepukana na minyoo. Zifuatazo ni baadhi ya kazi za metronidazole.
Soma Zaidi...Kubalehe ni wakati mwili wa mtoto unapoanza kubadilika na kuwa wa mtu mzima (balehe) hivi karibuni. Kubalehe ambao huanza kabla ya umri wa miaka 8 kwa wasichana na kabla ya umri wa miaka 9 kwa wavulana.
Soma Zaidi...Ni ngumu ila nitakujuza namna ya kuitambuwa mimba ya siku moja hadi 3, mimba ya wiki moja na mimba ya miezi mitatu kwa dalili.
Soma Zaidi...Tafiti zinaonesha kuwa karibia asilimia 10% mpaka 25% ya wanawake wanaopata ujauzito, mimba zao hutoka.
Soma Zaidi...Je, unafahamu dalili za mwanzo za ujauzito? Kutoka kwa kichefuchefu hadi uchovu, ujue nini cha kutarajia.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi mambo ya kuangalia kwa mtoto mdogo chini ya umri wa miaka mitano ili kuweza kuweka afya yake kwenye njia safi.
Soma Zaidi...Kama unadhani una tatizo la kuwahi kufika kileleni basi post hii ni kwa ajili yako.
Soma Zaidi...Kupata ujauzito hufungamana na mambo mengi ikiwepo afya vya wawili yaani me na mume na mengineyo. Unaweza kushiriki sikuvhatari na usiupate mimba. Postivhii ibakwendavkukufahamisha undani wa jambo hili.
Soma Zaidi...kama pumbu moja ni kubwa uliko jingine post hii ni kwa ajili yako. Hapa tutakwend akuangalia vinavyoweza kusababisha korodani moja kuw akubwa zaidi ya lingine
Soma Zaidi...