Njia za kupunguza makali ya pressure au shinikizo la damu

Posti hii inahusu zaidi njia mbalimbali za kupunguza ugonjwa wa pressure au shinikizo la damu kwa waliokwisha kupata wanaweza kupunguza na kwa wake ambao hawajapata ni nzuri inawasaidia kuepuka hatari ya kupata ppresha.

Njia za kupunguza ugonjwa wa pressure.

1. Kwanza kabisa ni lazima kujua presha Yako ikoje kama Iko juu, chini au kawaida, kwa kawaida presha ya juuu upaswa kuwaanzia mia ishilini mpaka mia arobaini na presha ya chini kwa kawaida uanzia sitini mpaka tisini, kwa hiyo kwa upande wa presha ya juuu  ni pale damu inaposukumwa kutoka kwenye moyo na kwenda kwenye sehemu mbalimbali za mwili na presha ya chini ni pale damu inapotoka kwenye sehemu mbalimbali za mwili na kuingia kwenye moyo kwa kupitia kwenye ventriko ya kushoto.kwa hiyo presha ya juu ikizidi mia arobaini sio hali ya kawaida labda Kuna tukio au ni ugonjwa na ya chini haipaswi kuzidi sitini.

 

2. Pia Ili kupunguza ugonjwa wa pressure ni vizuri kabisa kupunguza msongo wa mawazo kwa sababu ya kuwepo kwa msongo wa mawazo usababisha mwili kuzalisha homoni ambayo uhitwa adrenaline homoni kazi yake ni kufanya mishipa kusinyaa hali inayosababisha presha kuwa juu kwa sababu ya kuzalishwa kwa adrenaline homoni, kwa hiyo ni vizuri kabisa kukabiliana na changamoto za maisha na kujifunza namna ya kucontrol streets.

 

3. Kupunguza uzito.

Kwa kawaida uzito ukiongezeka ni shida tu kwa sababu function mbalimbali kwenye mwili huwa hazifanyi kazi vizuri.

 

4. Kufanya mazoezi.

Pia na mazoezi ni mazuri sana kwenye kupunguza ugonjwa wa pressure kwa sababu mtu akifanya mazoezi usaidia mishipa kulainika na kufanya kazi vizuri.

 

5. Kwa mgonjwa wa pressure epuka chakula chenye chumvi kwa sababu chumvi  kwa sababu kila siku mtu mmoja anapaswa kutumia mia tano .Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/05/19/Thursday - 09:49:46 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1085


Download our Apps
👉1 Kitau cha Fiqh     👉2 Kitabu cha Afya     👉3 kitabu cha Simulizi     👉4 Madrasa kiganjani    

Post zifazofanana:-