Katika somo hili utajifunza jinsi ya kuunganisha databse na Dart. Pia utajifunza jinsi ya kuset environment kwenye kompyuta ili kuweza kutumia Dart sdk kwenye CMD.
Jinsi ya kuunganisa mysql database.
Hatuwa ya kwanza tunatakiwa tu set environment variable kwenye kompyuta ili tuweze kutumia Dart sdk kwenye CMD yaani command prompt. Hivyo basi
Ukibofya hapo utaona kuna address imejitokeza kama invyooneshw akwenye picha hapo chini. Unachotakiwa kufanya kopi hiyo address.
Ikishabofya hapo ukurasa mwingine utafunguka wenye rangi nyeusi tupu. Basi hapo ndipo umefuka kwenye command prompt. Sasa wacha tutest kama tumefanikiwa ku set environment variable. Command za dart huanziwa na neno dart hivyo basi andika neno dart kisa bofya enter kwenye keyboard yako. Uktaona hapo kuna ukurasa umefunguka kama inavyoonekana kwenye picha hapo chini
...
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili utakwenda kujifunza jins ya kutengeneza constructor method, pia utajifunza matumizi yake kwenye OOP.
Soma Zaidi...Ka tika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu concept ya named constructor na constant constructor kwenye Object Oriented Programming.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu class interface na inavyotofautiana na class abstract
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu operator kwenye Dart, kazi zake na jinsi ya kuzitumia.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu break na continue kwenye Dart loop za for loop na while loop.
Soma Zaidi...Katika somo hili tutakwenda kuzungumzia kuhusu parameter kwenye Dart function. Pia tutakwenda kuona mambo mengine yanayohusu function
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutumia database ya mysql kwenye Dart. hakikisha umeelewa vyema na kutekeleza yalioelekezwa kutoka kwenye somo lililopita.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kusoma na kuandika faili kwa kutumia Dart programming.
Soma Zaidi...Katika somo lililopita tumejifunza kuhusu sintaksia za dart. Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutengeneza variable kwenye Dart.
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza maana ya class kwenye OOP paradigm, kisha utajifunza jinsi ya kutengeneza class.
Soma Zaidi...