picha
JE UKITOKEA MCHUBUKO WAKATI WA NGONO UNAWEZA PATA UKIMWI?

Kupata Ukimwi ama HIV hufungamana na mambo mengi. Si kila anayefanya ngono zembe nabmuathiria naye lazima aathirike. Hiivsibkweli,...

picha
JE UNAWEZA UKAPONA MACHO KAMA HUONI VIZURI KWA SABABU YA VITAMINI A,

Jiamini A ni katika vitamini inayojulikana sana kuboresha na kuimarisha afya vya macho na uoni. Tafiti zinaonyesha kuwa kuna kundi...

picha
MPENZI WANGU NIMESHIRIKI NAE TENDO LA NDOA AKIWA SIKU ZAKE ZA HATAR KWA SIKU 3 LAKIN HAJASHIKA MIMBA TATIZO LINAWEZA KUWA NI NINI?

Kupata ujauzito hufungamana na mambo mengi ikiwepo afya vya wawili yaani me na mume na mengineyo. Unaweza kushiriki sikuvhatari...

picha
NI DAWA GANI HATARI KWA MJAMZITO?

Ukiwa mjamzito uwe makini sana katika kuchagua matumizi ya dawa. Vinginevyobinawwza kuwa hatari. Hapa nitakujuza dawa ambazo ni...

picha
JE UNAWEZA KUPATA UJAUZITO BILA YA KUPATA HEDHI MIEZI 9 BAADA YA KUJIFUNGUWA?

Baada ya kujifungua mwili wa mwanamke huwa na mabadiliko tofauti na siku za nyuma. Kwa mfano hatapatavtena hedhi, hatoweza...

picha
JINSI YA KUTAWADHA HATUWA KWA HATUWA

Kutawadha ni katika ibada muhimu za mwanzo kutakiwa kuzijuwa na ni lazima. Swala yako haitaweza kutimia bila ya kujuwa udhu....

picha
JE MAUMIVU JUU YA KITOVU NI MIONGONI MWA DALILI ZA MIMBA?

Kama unahisi maumivu ya tumbo huwenda umejiuliza swali hili ukiwa kama mwanamke "Je maumivu juu ya kitovu ni miongoni mwa...

picha
VINYWAJI VYAKULA SALAMA KWA MWENYE PRESHA YA KUPANDA

Je umesha wahi kujiuliza kuwa ni vinywaji vipi mwenye presha ya kupanda anafaha kutumia, Unadhani ni maji, mvinyo wa pombe,...

picha
JE MAUMIVU JUU YA KITOVU NI MIONGONI MWA DALILI ZA MIMBA?

Dalili za mimba zinaweza kuanzia kuonekana mapema ndani ya wiki ya kwanza, japo sio rahisi nabhakuna uthibitishobwa uhakika juu ya...

picha
MAUMIVU YA TUMBO CHINI YA KIFUA, UPANDE WA KULIA NA CHINI YA KITOMVU.

Afya ya tumbo ni ishara tosha ya umadhibuti wa afya ya mtu. Maradhi mengi wanayouguwa watu chanzo kile mti anachokula....

picha
JE VIDONDA MARA NYINGI VITAKUWA MAENEO GAN YA MWILI?

Je vidonda Mara nyingi vitakuwa maeneo gan ya mwili? Hili ni swali lililoulizwa kuhusu vidonda vya tumbo, kuwa vinakaa wapi...

picha
KAWAIDA MTU ANATAKIWA NA KIWANGO GANI CHA PRESHA

Nimeambiwa presha yangu umeshuka iko 90/60 na Nina umri wa miaka 26 KawaidaMtu anatakiwa na kiwango gani Cha presha

picha
JE KUKOSA HEDHI KWA MWANMKE ANAYENYONYESHA NI DALILI YA MIMBA

Kipimo cha mimba cha mkojo hakiwezi kyonyesha mimva changa sana. Hivyo kama ni mimba baada ya wikibpima tena itaweza kuonekana....

picha
KOO LANGU LIMEKAUKA YAWEZA KUWA NI MUADHIRIKA?

kuwashwa na koo ni katika dalili za kuwa na maambukizi mwilini. Kuwa na maambukizi haimaanishi ni HIV ama UKIMWI laa...

picha
NAOMBA MNIELEKEZE JINSI YA MATAYARISHO YA MBEGU ZA PAPAI MPAKA NIANZE KUZITUMIA KAMA TIBA

Mbegu za papai ni katika baadhi ya mbegu ambazo hutumika kama dawa, na tunda lake ni katika matunda yenyevirutubisho vingi...

picha
JE KUKOHOA KUNAWEZA KUWA NI DALILI YA MINYOO?

Dalili za minyoo zipo nyingi kama kuumwa na tumbo, tumbo kujaa gesi, uchovu, kukosa hamu ya kula, kupata choo chenye...

picha
KWANI MINYOO HUKAA SEHEM GANI YA MWILI?

Minyoo ni katika parasite, yaani ni viumbe wanaokaa kwenye mwili na kujipatia chakula chake humo. Katika miili yetu minyoo huishi...

picha
JE NI KWELI VITUNGUU SAUMU VINASHUSHA PRESURE

Kitunguu saumu ni tiba mbadala ya presha yabkushuja. Hakitatui tatizo yaani hakiponyeshi, ila husaidia katika kushusha presha iliyo panda.

picha
UKIFANYA MAPENZI SIKU HATARI NA UKAMEZA P2 UNAWEZA PATA MIMBA?

Je umeshawahi kujiukiza kuwa, dawa ya P2 ni kweli inaweza kuzuia mimba, ukifanya mapenzi siku hatari?

picha
KICHWA KINANIUMA MBELE SIELEWI NINI

Zijuwe sababu za kuumwa nankichwa upande mmoja wa kichwa.

picha
NJIA ZA KUJIKINGA NA VIDONDA VYA TUMBO

Kama unahitaji kujuwa namna ya kuweza kujikinga na vidonda vya tumbo, basi makala hii ni kwa ajili yako. Hapa utaweza...

picha
KAZI ZA VITAMINI B MWILINI NA UPUNGUFU WA VITAMINI B MWILINI

vitamini B vipo katika makundi mengi kma aB1, B2, B3, B5, B6, B7 na B12. Makala hii itakwenda kukutajia kazi...

picha
DALILI ZA MIMBA CHANGA NDANI YA WIKI MOJA

Je na wewe ni katika ambao wanahitaji kujuwa dalili za mimba ndani ya wiki moja? kama ndio makala hii ni...

picha
VYAKULA SALAMA NA VYAKULA HATARI KWA VIDONDA VYA TUMBO

Kamala hii inakwenda kufundisha vyakuna na vinjwaji salama anavyopaswa kutumia mgonjwa wa vidonda vya tumbo. Pia utajifunza vyakula na vinywaji...

Page 223 of 225

Kuhusu Bongoclass

image

Bongoclass ni jukwaa la Kitanzania lenye lengo la kushirikisha maarifa na akili ili kukuza uwezo wa watu binafsi na jamii kwa ujumla. Kupitia tovuti yetu, programu ya simu, na mitandao ya kijamii, Bongoclass hutoa maudhui ya elimu bure kwa Kiswahili katika maeneo mbalimbali kama afya, burudani, na masomo ya shule. Jukwaa hili linajikita katika kutoa fursa za kujifunza, kushirikiana, na kukuza uchumi kwa kuzingatia muktadha wa kitamaduni na lugha ya Kiswahili.