Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula maboga
Faida za maboga
1. Mbegu za maboga zina virutubisho Kama protini, fati, vitamini K na madini ya zink, shaba, manganese na magnesium
2. Maboga yana antioxidants ambazo hulinda mwili dhidi ya mashambulizi
3. Husaidia kupunguza uwezekano wa kupata saratani
4. Huimarisha afya ya korodani na kibofu
5. Huboresha afya ya moyo
6. Hudhibiti kiwango cha sukari mwilini
7. Ni nzuri kwa afya ya mifupa
8. Huzuia tatizo la kukosa choo
9. Husaidia katika kupata usingizi mwororo
10. Huongeza mbegu za kiume
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote
Soma Zaidi...Makala hii itakuletea faida za kitunguu thaumu katika afyabyako.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula nanasi
Soma Zaidi...Hapa utajifunza vyakula hatari kwa mgonjwa wa kisukari, pia utajifunza vyakula salama anavyotakiwa ale mgonjwa wa kisukari, Pia ujajifunza njia za kujikinga na kisukari
Soma Zaidi...Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote
Soma Zaidi...