Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula senene, panzi na kumbikumbi
Faida za panzi, senene na kumbikumbi
1. Zina virutubisho Kama protini kwa kias kikubwa
2. Huboresha mfumo wa kinga
3. Huimarisha afya ya meno na mifupa
4. Hulinda mwili dhidi ya maradhi ya anemia
5. Huboresha na kulinda seli dhidi ya mashambulizi
6. Ni tiba nzuri ya maradhi ya puru
7. Ni chakula kizuri kwa maendeleo ya ukuaji wake kiumbe kilichopo tumboni
8. Ni chakula kizuri kwa afya ya ubongo
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowUmeionaje Makala hii.. ?
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za tangawizi
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi asili ya madini ya zinki, hii inaonesha sehemu gani tunaaweza kupata madini ya zinki.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula bamia
Soma Zaidi...Hii ni orodha ya matunda yenye vitamini C kwa wingi sana ikiwemo machungwa, mapera na mapapai
Soma Zaidi...Somo hili litakwenda kukueleza kuhusu faida za kula zabibu na umuhimu wake kiafya
Soma Zaidi...