Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula passion
Faida za passion
1. Lina virutubisho Kama vitamin C na A pia Lina madini ya chuma na potassium
2. Hulinda mwili dhidi ya madhara ya kemikali mwilini
3. Hulinda moyo dhidi ya maradhi ya moyo
4. Huboresha afya ya macho
5. Huondoa tatizo la kutokupata choo
6. Hupunguza uwezekano wa kupata satarani ya tumbo, utumbo na matiti
7. Hupunguza hatari ya kupata maradhi ya kisukari
8. Huimarisha mwili dhidi ya maradhi ya mara kea mara
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Somo hili litakwenda kukueleza na kukuelimisha kuhusu umuhimu wa kula parachichi kiafya
Soma Zaidi...Usiwashangae wanaokula lima, kwa hakika kuna faida kubwa kiafya kula limao, je unazijuwa faida hizo
Soma Zaidi...Katika makala hii nitakwenda kukupa somo linalohusu vitamini E, kazi zake, chanzo chake na madhara ya upungufu wake
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula nyanya
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu vyakula vya kupambana na saratani
Soma Zaidi...