picha
JE, MTU ANAWEZA KUSOMA QURAN AKIWA AMELALA?

Kusoma Qur'an kuna faida kubwa kwa Muislamu, kwanza kunampatia thawabu, kunatoa nuru maisha yake, mwili wake na kumlinda na mashetani...

picha
FAIDA ZA KULA NANASI

Somo hili linakwenda kukuletea za kula nanasi na umuhimu wake kiafya

picha
MWEZI JUZI NILIINGIA TARHE 21 ILA MWEZ ULOISHA NMEINGIA TARH 25 MAANA MZUNGUKO WANGU UMEKUWA MREFU NIKAHS NAUJAUZITO KUMBE MZUNGUKO UMEBADILIKA HAPO TATZ N NN

Posti hii utakwenda kutoa sababu kuu za kuvurugika kwa mzunguko wa hedhi. Kama na wewe numiongini mwaka endelea kusoma

picha
FAIDA ZA KULA APPLE (TUFAHA)

Posti hii itakwende kukueleza kuhusu faida za kula apple na umuhimu wake kiafya

picha
FAIDA ZA KULA PARACHICHI

Somo hili litakwenda kukueleza na kukuelimisha kuhusu umuhimu wa kula parachichi kiafya

picha
ASSALAM BAADA YAKUFARIKI WAZAZI WAKE MTUME ALILELEWA NANANI???

Mtume Muhammad s.a.w amezaliwa yatima asiyena baba. Lakini hii haikumfanya asipate maelezo bora yaliyo mazuri. Je unajuwa aliyemlea baada...

picha
FAIDA ZA KULA ZABIBU

Somo hili litakwenda kukueleza kuhusu faida za kula zabibu na umuhimu wake kiafya

picha
JE MINYOO INAWEZA KUSABABISHA MMENG'ENYO WA CHAKULA KUWA DHAIFU?

Mfumo wa chakula unaweza kuwa dhaifu kwa sababu nyingi ikiwepo vyakula vyenyewe, vinywaji ama maradhi. Vipi kuhusu minyoo? Endelea...

picha
HALOW SAMAHAN DOKTA NMEKUWA NIKIUMWA TUMBO MUDA MWINGI TAKRIBAN WIKI YA 3 HALIPON NAHARISHA KUNA MUDA NIKILA CHAKULA HATA KAMA KDOGO TU MAUMIVU MAKALI,JE NIFANYAJE MSAADA

Mvurugiko katika mfumo wa chakula mwilinivunaweza kusababisha maumivu ya tumbo, kuharisha, kutapika na kuchoka pia. Lakini zipo sababu nyingine...

picha
NNA MIMBA YA MIEZ MIEZI MITANO 5 NARUHUSIWA KULA PAPAI KWA WING

Miongoni mwa matunda yenye virutubisho vingi ni pamoja na papai, nanasi, tikiti, palachichi, pera, ...

picha
JE VIDONDA VYA TUMBO HUSABABISHA MAUMIVU MPKA UPANDE MMOJA WA MGONGONI !?

Ni ngumu kujuwa vidonda vya tumbo uhakika wake bila ya kupata vipimo. Unajuwa ni kwa nini, ni kwa sababu maumivu...

picha
MIE NI MWANAMKE NINAMAUMIVU CHINI YA KITOVU UPANDE WA KUSHOTO, NA NIKISHIKA TUMBO NAHISI KITU KIGUMU UPANDE HUO HUO WA KUSHOTO... HII ITAKUA NI NINI?

Je unasumbuliwa na maumivuvya tumbo chini ya kitovu upande wa kushito. Post hii itakuletea sababu za maukivubhayo na nini ufanye.

picha
NIMETOKA KUFANYA TENDO LA NDOA GHAFLA TUMBO LIKAANZA KUKAZA UPANDE WA KUSHOTO NA KUTOKA MAJI YENYE UZITO WA KAWAIDA KAMA UTE MENGI JE HII ITAKUWA NI NINI

Maumivu yavtumbo huwenda yakachanganya sana, Keane yanahusianana sababu nyingi sana. Kina baadhi ya watu hupata na maumivu ya...

picha
FAIDA ZA MATUNDA

Somo hili linakwenda kukuletea faida za MATUNDA mbalimbali na mboga, upatikanaji wake na faida zake kiafya. Pia utakwenda kuona MATUNDA...

picha
JE ?KIPIMO KIKIONYESHA MISITAR MIWILI MMOJA HAFIFU MWINGINE UMEKOLEA NI MIMBA AU SIO

Kipimo chamimba cha mkojo, huonyesha nestory miwili kuwa una mimba, na mmoja kuwa huna mimba. Sasa je ukitokea mmoja...

picha
NJIA HUANZA KUFUNGUKA MDA GANI KABLA YA KUJIFUNGUA

Mtoto huweza kuzaliwa ndani ya miezi 6 na unaweza kupona. Na huyu mdoe mtoto njiti. Na anaweza kuzliwa kwa njia...

picha
JE UTE WA UZAZI UANZA KUONEKANA SIKU YA 14 TU AU KABLA ? NA JE MIMBA YA SIKU TATU INAWEZA KUCHEZA?

Miongoni mwa dalili zamwanzo za ujauzito ni maumivu ya tumbo ama kupatwa na damu kidogo. Mabadiliko ya ute ute sehemu...

picha
MIMI MARA YA MWISHO KUBLEED ILIKUWA TAREH 3/9 NILISEX TAREHE 4 JE NI KWEL NNA MIMBA MAANA HADI SASA SIJABLEED AU NI KAWAIDA TU

Je unaijuwa siku yako hatari ya kupata mimba. Na itakuwaje kama tayari umebeba mimba changa. Nakala hii inakwenda kukushauri...

picha
DAWA YA KUTIBU INFECTION KWENYE KIZAZI NISAIDIE DOCTOR

Je unasumbuliwa na maambukizi na mashambulizi ya virusi na bakteria kwenye sehemu za siri ama via vya uzazi?. Posti...

picha
YAJUE MARADHI YA KISUKARI

Posti hii itakwenda kuelezea mambo machache kuhusu ugonjwa wa kisukari

picha
JE INAKUAJE KAMA UMEMPIGA DENDA MTU MWENY UKIMWI AMBAYE ANATUMIA DAW ZA ARVS NA UNA MICHUBUKO MIDOGO MDOMON YA KUUNGUA NA CHAI

Bila shaka umeshawahi kujiuliza kuwa je mate yanaambukiza HIV ama laa. Na kama hayaambukizi ni kwa sababu gani. Sio...

picha
JE DALILI YA KUUMA TUMBO HUANZA BAADA YA WIKI NGAPI TOKA MWANAMKE APATE UJAUZITO?

Maumivu ya tumbo ni moja katika dalili za ujauzito. Maumivu wanawake wengi hushindwa kujuwa kuwa ni ujauzito ama laa. Na...

picha
JE CHUCHU ZIKIWA NYEUSI NINI KINASABABISHA,, KANDO YA KUWA MJAMZITO? NA KAMA SIO MJAMZITO SABABU YA CHUCHU KUA NYEUSI NI NINI

Chuchu kubadilika range ni mojavkatika mabadiliko ambayo huwapa shoka wengi katika wasichana. Lucinda nikwambie tu kuwa katika hali ya kawaida...

picha
MIUNGURUMO HAIISHI TUMBONI NIKISHIKA UPANDE WA KUSHOTO WA TUMBO KUNA MAUMIVU KWA MBALI JE MM NITUMIE DAWA GAN KUONDOA TATIZO HILO

Kukawa na gesi tumboni kunaweza kuwa ni dalili ya shida kwenye afya, hasa katika mfumo wa chakula. Hali itakuwa...

Page 226 of 230

Kuhusu Bongoclass

image

Bongoclass ni jukwaa la Kitanzania lenye lengo la kushirikisha maarifa na akili ili kukuza uwezo wa watu binafsi na jamii kwa ujumla. Kupitia tovuti yetu, programu ya simu, na mitandao ya kijamii, Bongoclass hutoa maudhui ya elimu bure kwa Kiswahili katika maeneo mbalimbali kama afya, burudani, na masomo ya shule. Jukwaa hili linajikita katika kutoa fursa za kujifunza, kushirikiana, na kukuza uchumi kwa kuzingatia muktadha wa kitamaduni na lugha ya Kiswahili.