Posti hii inahusu zaidi faida za maji ya uvuguvugu, hasa hasa maji haya ni vizuri kabisa kuyatumia hasa wakati wa asubuhi na pia wakati tumbo likiwa halina kitu, kwa hiyo zifuatazo ni faida za maji ya uvuguvugu.
1. Kuondoa mikunjo.
Kwa kawaida tunafahamu kadri ya mabadiliko ya mazingira Kuna pia kubadilika kwa uso na kuwa na mikunjo au pengine kwa sababu ya kuwepo kwa Sumu nyingi mwilini usababisha mwili kuwa na mikunjo na pengine mtu kuonekana akiwa ni Mzee lakini anakuwa na sura ya kitovu bado kwa hiyo kwa matumizi ya maji ya moto usaidia pia kuondoa Sumu mwilini na mtu kuonekana vizuri kabisa.
2. Uepusha maumivu mbalimbali.
Kwa matumizi ya maji ya uvuguvugu usababisha kuondoa kwa maumivu ya tumbo wakati wa hedhi pia usaidia kulainika kwa misuli ya kwenye moyo na pia kwa matumizi ya mara Kwa mara usaidia kupunguza maumivu mbalimbali kwenye mwili.
3. Usaidia kupunguza Uzito.
Kwa matumizi ya mara Kwa mara ya maji ya moto usaidia pia kupunguza Uzito ambapo uongeza joto la mwili na kusababisha kuyeyuka kwa mafuta kwenye mwili , kwa kitendo cha kuyeyuka kwa mafuta usaidia pia uzito kupungua hali hii uwasaidia watu wengi wenye tatizo la kuongezeka uzito mara Kwa mara.
4. Uboresha usagaji wa vyakula.
Kuna wakati mwingine panakuwepo na shida kwenye usagaji wa vyakula lakini kwa matumizi ya mara Kwa mara ya maji ya uvuguvugu usaidia vyakula kuyeyuka, ila kwa matumizi ya maji ya baridi usababisha kuganda kwa mafuta.
5. Maji ya uvuguvugu uboresha mzunguko wa damu mwilini. Kwa matumizi ya maji ya uvuguvugu usaidia kuondoa mgandamizo wa nevu za mwili na hivyo usaidia damu kuzunguka vizuri kabisa kwenye mwili.
6. Usaidia kupata usingizi vizuri.
Kwa matumizi ya mara Kwa mara ya maji ya uvuguvugu usaidia kupata usingizi vizuri kabisa hasa utumiwa kabla ya chakula cha usiku na baada ya chakula cha usiku, kwa kufanya hivyo usaidia kupata usingizi vizuri na WA kutosha.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inahusu zaidi malengo ya kusafisha vidonda, kwa sababu Kuna watu wengine huwa wanajiuliza kwa nini nisafishe kidonda hospitalini au kwenye kituo chochote Cha afya, yafuatayo ni majibu ya kwa Nini nisafishe kidonda.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi umuhimu wa ovari kwenye mwili wa mwanamke. ovari ni sehemu ambapo mayai ya mwanamke hutunza, kwa hiyo kila mwanamke huwa na ovari ambayo husaidia kutunza mayai.
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kuzuia kiungulia
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi tatizo la kizungu Zungu ni tatizo ambalo utokea kwa watu mbalimbali na kwa sababu tofauti tofauti na pengine mtu akipata kizungu sehemu mbaya anaweza kusababisha majeraha au pengine kupata ulemavu
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu madhara ya upungufu wa maji mwilini
Soma Zaidi...Posti hii inahusu njia za kumlisha Mgonjwa ambaye hawezi kujilisha wenyewe, hali hii uwa inawapata wagonjwa wale ambao hawawezi kujilisha wenyewe tunaweza kuwalisha kwa njia zifuatazo.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukuletea Mambo ambayo hayawezi kuambukiza UKIMWI
Soma Zaidi...Katika post hii utajifunza sababu zinazowezabkuorlekea kibofu kuuma upande mmoja
Soma Zaidi...