Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za mchaichai
Faida za mchaichai
Majani haya hutumiwa Kama mbadala wa majani ya chai, yana harufu nzuri na rangi ya kuvutia pindi yatumiwapo kama majani ya chai
1. Huboresha na kuimarisha mfumo wa mmeng'enyo wa chakula
2. Mchaichai una virutubisho Kama vitamin C na A pia una madini mengi
3. Hutumika Kama dawa ya kukosa choo, tumbo kujaa gesi na kuvimbiwa
4. Hutumika kutoa sumu mwilini
5. Hudhibiti presha ya damu na kuishusha
6. Husaidia kusafisha ini
7. Huboresha afya ya moyo
8. Husaidia katika uunguzwaji wa fati na mafuta mwilini
9. Huboresha na kuimarisha afya ya ngozi na nywele
10. Hutibu mafua na homa ya mafua
11. Huzuia maumivu ya chango kwa wakina mama
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowJe umeipenda post hii ?
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu vyakula vya kupambana na saratani
Soma Zaidi...kuhusu vitamini K, wapi tutavipata, ni zipi athari zake na ni zipi kazi zake mwilini.
Soma Zaidi...Vitamini A ni katika vitamini fat soluble vitamin akama vile retinol, retinal, retinoic acid na beta-carotene.
Soma Zaidi...