Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu umuhimu wa kitunguu maji mwilini
Umuhimu wa kitunguu maji
1. Kitunguu kina virutubisho Kama vitamin C, B6 na B9, pia madini ya potassium
2. Hulinda afya ya moyo
3. Hushusha presha ya damu
4. Hulinda mwili dhidi ya maradhi hatari ya kisukari, saratani na ugonjwa wa moyo
5. Hudhibiti kiwango cha sukari kwenye damu, na hii Ni nzuri kwa watu wenye type 2 diabetes
6. Huboresha afya ya mifupa na kuifanya iwe imara na madhubuti
7. Huimarisha ulinzi wa mwili dhidi ya mashambulizi ya bakteria
8. HubireHub na kuimarisha mfumo wa mmeng'enyo wa chakula
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Kula uyoga kwa faida kubwa, ja unazijuwa faida za kula uyoga kiafya
Soma Zaidi...Katika post hii utakwenda kujifunza vyakula unavyopasa kul ili kuboresha afya ya meno yako. Pia utajifunza vyakula vilivyo hatari kwa afya ya meno yako.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula parachichi
Soma Zaidi...Kuna faida kubwa za kiafya kwa kula ndizi, soma makala hii mpaka mwisho
Soma Zaidi...