Haya maji meupe hutokea wakat mimba ishatungwa au ukifanya tendo la ndoa lazima utokee?
Majimaji yanayitoka kwenye uke yanafungamana na taarifa nyingi kuhusu afya vya mwanamke. Ujauzito, maradhi, mabadiliko ya homoni na zaidi.
Swali:
👉Haya maji meupe hutokea wakat mimba ishatungwa au ukifanya tendo la ndoa lazima utokee?
👉 Kam ni mabadiliko ya homon Huwa yanachukua mda gan mpaka kulud hali ya kawaid
👉Ukikamuwa maziwa yanatok maj je nayo inaweza kuingia kwenye mabadiliko ya homon
Jibu:
ðŸ”Kwa mjamzito yatakuwa meupe yanayofanana na maziwa, ilasiovlazima yanaweza kuwa na utofautivhuu pia. Belichick haiwezivkuonekana baada yavtendo, Lamda baada yavmwili kaka mbili nakuebdelea. Pia kuna wengine hawataona mabadiliko haya
🕊ï¸Kama ni ujauzito Majimaji yataendelea hivyovyo kama yatabadilika kuwa mepesi ama kupata kuwa kaka zamani uke ulivyo hapo tutasema kweli ilikuwa na mabadiliko ya homoni na sivujauzito
ðŸ¦Maziwa kutoka sio mimba changa ni homoni, maziwa kuona ni ujauzito. Siku zote mimba na mabadiliko ya homoni hukaribiana, bila vipimo hatuwezi kuthibitisha
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Madrasa kiganjani 👉2 Simulizi za Hadithi Audio 👉3 ai web app 👉4 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉5 Kitabu cha Afya 👉6 Bongolite - Game zone - Play free game
Post zinazofanana:
Siku za hatari, siku za kubeba mimba
Hizi ni siku hatari kwa mwanamke ambazo ni ahisi kwake kubeba mimba, siku nitakueleza ni zipi na ni zipi sifa zake
Soma Zaidi...Dalili ninazoziona kwangu chuchu zinauma na sjapata period mwezi huu na nlishiriki tarehe 19 mwezi wa tisa
Nini humaanisha kama chuchu zinauma na hupati period mwanaidi mrefu.
Soma Zaidi...Malengo ya kuwahudumia watoto chini ya miaka mitano
Posti hii inahusu malengo ya kuwahudumia watoto chini ya miaka mitano, huduma hii ilianzishwa na WHO na UNICEF mwaka 1990 ili kuweza kuzuia Magonjwa na kuwapatia watoto lishe pamoja na hayo walikuwa na malengo yafuatayo.
Soma Zaidi...SABABU ZA KUKOSA HAMU YA TENDO LANDOA
Hii ni hali inayompata mtu kukosa hamu kabisa ya kushiriki kitendo chochote kinachohusiana na kufanya tendo landoa au bunyeto.
Soma Zaidi...Njia za uzazi wa mpango
Posti hii inahusu zaidi kuhusu njia za uzazi wa mpango, uzazi wa mpango ni njia za kupanga uzazi Ili kupata idadi ya watoto unaohitaji
Soma Zaidi...