Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula maini
Faida za kula maini
1. Husaidia katika kuipa miili yetu nguvu za kutosha
2. Huboresha afya ya ngozi
3. Huimarisha afya ya mifupa
4. Ni chakula kizuri kwa afya ya moyo
5. Husaidia kuboresha afya ya ubongo
6. Ni chakula kizuri kwa ukuaji wa misuli
7. Huondoa sumu mwilini
8. Huuoa nguvu mfumo wa kinga
9. Hulinda mwili dhidi ya saratani
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Post hii inakwenda kukufundisha utaratibu wa lishe kwa wagonjwa wenye kisukari pamoja na vyakula salamakwao.
Soma Zaidi...Hapa utajifunza vyakula hatari kwa mgonjwa wa kisukari, pia utajifunza vyakula salama anavyotakiwa ale mgonjwa wa kisukari, Pia ujajifunza njia za kujikinga na kisukari
Soma Zaidi...Somo hili litakwenda kukueleza kuhusu faida za chungwa na chenza mwilini
Soma Zaidi...unayopaswa kuyajuwa kuhusu protini na vyakula vya protini, faida zake na hasara zake. Madhara ya kiafya yanayohusiana na protini pamoja na kuyaepuka madhara hayo
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula kisamvu
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukuletea matunda yenye vitamin C kwa wingi
Soma Zaidi...