Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula biringanya eggplant)
Faida za biringanya (eggplant)
Ujapokua watu huwa wanaita biringanya kuwa Ni mboga, ila kiuhalisia biringanya ni tunda
1. Lina virutubisho Kama protini, vitamin C na K, pia madini ya potassium na manganese
2. Hulinda mwili dhidi ya madhara ya kemikali
3. Hupunguza hatari ya kupata maradhi ya moyo
4. Hupunguza uzito
5. Huboresha homoni ya insulin ili iweze kufanya kazi vyema
6. Hupunguza hatari ya kupata kisukari
7. Hupambana na saratani na kuzuia seli za saratani kuzaliana
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Makala hii inakwenda kukupa elimu juu ya vyakula na vinywaji vilivyo salama kwa mtu mwenye kisukari, na ni vyakula vipi ni hatari kwa mwenye kisukari. Pia utajifunza njia za kujilinda na kupata kisukari.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu matunda yenye vitamin C kwa wingi
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi tiba ya lishe ya ugonjwa wa kisukari ni tiba ambayo utumiwa sana na wagonjwa wa kisukari na walio wengi na wamefanikiwa kupona
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kunywa maziwa
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula viazi mbatata
Soma Zaidi...