Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula samaki
Faida za samaki
1. Samaki wanna virutubisho Kama protini, fati, vitamini D na madini ya iodine
2. Hupunguza hatari ya kupata maradhi ya moyo Kama vile shinikizo la damu na stroke
3. Ni chakula kizuri kwa ukuaji mzuri wa mtoto
4. Ni chakula kizuri kwa afya ya ubongo na ukuaji wake
5. Hulinda mwili dhidi ya maradhi ya kisukari
6. Huzuia pumu kwa watoto
7. Hupunguza misongo ya mawazo
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
utajifunza njia za kuzuia kiungulia, dalili za kiungulia na dawa ya kutibu kiungulia.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula topetope
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu maana na historia ya vitamin C
Soma Zaidi...Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula chungwa/orange
Soma Zaidi...