Mafunzo yatokanayo na maandalizi haya ya ki ilhamu

Bara arabu zama za jahiliyyah (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu)

Mafunzo yatokanayo na maandalizi haya ya Ki-Ilhamu

  1. Hatuna budi kuwaandaa watoto wetu kuwa Makhalifah (viongozi) wa Allah (s.w) hata kabla hawajazaliwa.

 

  1. Hatuna budi kuwaandaa walimu (madai’yah) watakaoufundisha Uislamu na taaluma zingine kwa lengo la kuusimamisha Uislamu katika jamii.

 

  1. Hatuna budi kushirikisha familia zetu kwenye harakati za kuuhuisha na kuusimamisha Uislamu katika jamii.

 

  1. Wanawake wa Kiislamu hawanabudi kumuiga Bi Khadija, mkewe Mtume (s.a.w) katika kuwasaidia waume zao katika harakati za kuupigania Uislamu.

 

  1. Pia hatuna budi kuchukia kila aina ya uovu na dhuluma unaofanywa katika jamii, na tujitahidi kuyaondoa kwa mikono na kauli zetu kabla ya kujitenga.

 

  1. Hatuna budi pia kujipamba na kila tabia na mwenendo mwema kwa kadri ya uwezo wetu.

 

  1. Pia hatuna budi kujiimarisha kiuchumi kwani ndio ni katika nyenzo kuu za kuweza kuusimamisha na kuuendeleza Uislamu katika jamii.

 

Download App Yetu

Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.

Download Now Bongoclass

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 1970-01-01 03:33:44 Topic: Sira Main: Dini File: Download PDF Views 1373

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
πŸ‘‰1 Kitabu cha Afya    πŸ‘‰2 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)    πŸ‘‰3 Simulizi za Hadithi Audio    πŸ‘‰4 Kitau cha Fiqh    πŸ‘‰5 kitabu cha Simulizi    πŸ‘‰6 Bongolite - Game zone - Play free game   

Post zinazofanana: