Samahani nilikua naomba niulize swali mimi imepita miezi mitatu sioni hedhi na wala sioni dalili ya kuwa na mimba unaweza ukaniambia tatizo la kuwa na hali hii

Kama na wewe unasumbuliwa na hali ya kupitiliza siku zako post hii itakusaidia.

'swali

Samahani nilikua naomba niulize swali mm imepita miezi mitatu sioni hedhi na wala sioni dalili ya kuwa na mimba unaweza ukaniambia tatizo la kuwa na hali hii

 

'jibu

Kutokuona hedhi kunaweza kusababishwa na mambo mengi.  Ujauzito pekee hautoshivkwa sababu ya kukosa hedhi. 

 

' Kukosa hedhi kunaweza kusababishwa na: -

'Vyakula

'Mashambulizi ya bakteria kwenye uzazi

'Mashambulizivya fangasivkwenye uzazi

'Mashambulizi ya virusi kwenyevkizazi

'Misongo ya mawazo

' Hali ya hewa

'Shughuli za kila siku

'Shida kwenye mfumo wa homoniJe! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/05/15/Sunday - 02:19:49 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 806


Download our Apps
👉1 Kitabu cha Afya     👉2 Kitau cha Fiqh     👉3 kitabu cha Simulizi     👉4 Madrasa kiganjani    

Post zifazofanana:-