Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula mayai
Faida za mayai mwilini
1. Mayai yana virutubisho Kama vile vitamin A, B2, B5, B6, B12, D, E na K pia Lina madini ya selenium, zink na calcium
2. Huongeza cholesterol nzuri mwilini
3. Husaidia katika kuufanya ufanyaji kazi wa ubongo kua mzuri pia katika kutengeneza utando wa seli
4. Mayai hupunguza uwezekano wa kupata maradhi ya moyo
5. Ni mazuri kwa afya ya macho
6. Yana kiwango kizuri cha protini kilicho Bora kabisa
7. Mayai hupunguza hatari ya kupata ugonjwa wa kiharusi yaani kupalalaizi
8. Husaidia katika kupunguza uzito
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula spinach
Soma Zaidi...Post hii inakwenda kukipa faida za madini ya chumvi mwilini.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula topetope/ accustard apple
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu maana na historia ya vitamin C
Soma Zaidi...tangawizi ni katika viungio vya mboga vyenye faida, pia ni kinywaji, zijuwe leo faida za tangawizi
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za tangawizi
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula viazi mbatata
Soma Zaidi...